FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Gooooooooool Barcelona 2 Deportivo 0 Rakitic goal dk 61
 
Daaaaaaah aiseeee Mpira Full Time wanga kaz ni kwenu
 
Atletico wanagonga hodi jamani muwe wakarimu kuwafungulia sharing is living
 
mii ndio kwanza naingia hapa naona matokeo najiuliza naota manake leo sikua na mda wa kuangalia hii gem daah siamini kabisa macho yangu hawa jamaa hii ni gem ya pili tunatoa nao draw mkikumbuka season iliyopita last gem ilikua na hawa deportivo dakika za mwisho tukatoka nao draw lakini ilikua tayari tilisha kua na uhakika wa kombe media zikasema barca wameuza gem hawa jamaa laitani tungaliwapiga siku hiyo basi wangalishuka daraja leo tena tumeona wamekuja kugawana point ndani ya dimba la camp nou daah isee inauma nilipoona goli la messi free kick nilisha furahi lakini kuja kuona jamaa wamerejesha nimenyon'gonyea inauma inauma
 
wazee wa madroo mpo? jifunzeni kwa wenzenu manure, droo zikizidi kinachofuata ni kichapoooo

out of possible nine points mmeambulia tatu hahaaaaa
 
Happy birthday my lovely team AC Milan...sisi ni mabingwa wa milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…