FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ndo mda wao lkini it will reach a time itashuka

hii ni kama AC MILAN ya Arigo sachi
Offcourse itashuka but when????? huu mpira inaocheza Barca uko ahead of world clubs by miles-ku catch up EPL na the likes of Real madrid inabidi wa overhaul set up zao by gigantic proportions
 
Jina: Futbol Club Barcelona (FCB) a.k.a Barca, Blaugrana.

Kuanzishwa: November 29 1899.

President: Josep Maria Bartomeu.

Coaches: Luis Enrique .

Juan carlos Unzue (msaidizi).

Anthem: Cant del Barca

Uwanja: Camp Nou , unaingiza watu 99,354. Mkubwa kuliko yote ulaya na watatu duniani.

Mashabiki
: Barcelonistas, Cules,Blaugranes au Azulgranas.

Makombe: Washindi wa La liga mara 23 nyuma ya Madrid (32).

Washindi wa Copa del Rey mara 27 mbele ya Bilbao 24 na Madrid 19.

Washindi wa supercopa mara 11 mbele ya Madrid mara 9.

Washindi mara tatu wa FIFA club world cup (rekodi).

Washindi mara 5 wa UCL nyuma ya Madrid 10 na milan 7.

El classico: kwa mechi za mashindano Madrid kashinda 92 na Barcelona kashinda 90. Kwa zote Barcelona kashinda 109 na Madrid 96.
 
Offcourse itashuka but when????? huu mpira inaocheza Barca uko ahead of world clubs by miles-ku catch up EPL na the likes of Real madrid inabidi wa overhaul set up zao by gigantic proportions

The ony way hiyo style kustop ni kufanya GEGENPRESSING Tu wasi settle na mpira kila wakati, na vijana wajitume mwanzo mwsho
 
The ony way hiyo style kustop ni kufanya GEGENPRESSING Tu wasi settle na mpira kila wakati, na vijana wajitume mwanzo mwsho
GEGENPRESSING or whatever it is,zimejaribiwa sana mpaka opposing team ina run out of steam sababu barca are running them out of the pitch alaafu kumbuka Barca wana ile kitu inaitwa A moment of magic ,yaani in seconds wako deep inside enemy territory-hapa sasa either Messi,Suarez au Neymar lazima apige last nail on the coffin
 
ni mara chache sana kukuta Barca imekimbia kilomita nyingi kuliko timu pinzani. mbinu ya kukimbia sana imeonekana imeshindwa kuifunga barca. wapinzani wanaishia kuhangaishwa bwege.
 
ni mara chache sana kukuta Barca imekimbia kilomita nyingi kuliko timu pinzani. mbinu ya kukimbia sana imeonekana imeshindwa kuifunga barca. wapinzani wanaishia kuhangaishwa bwege.
mimi naamini in the course of 90 minutes katika Barca ni Neymar na labda Suarez ndio wanaotoka jasho,akina Messi na wengine wana cruise tu
 
zamu ya Eibar leo ku face razzmatazz la Barca-hizi team of late zinahold out for the first half hour,zikichoka Barca anapandisha gear,outcome we are all familiar with.MSN will be on show as usual providing joy to households the world over-All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…