[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yani ungejua unavyonikosha kwa update zako we acha tu.Wachezaji wote wa Barca jana hotelini kwao wamelala katika Oxygen tents-tegemea leo Madrid kehenyeshwa uwanja mzima
sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!Nadhani umekosea nyumba mkuu.....hatujawai kufiwa na hatutegemei kufiwa [emoji2] [emoji2] [emoji2]
pamoja sanaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yani ungejua unavyonikosha kwa update zako we acha tu.
Sio wewe tuu, yaani huyu mdada hajajua tu anavyotufurahisha kwa maneno yake.[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] yani ungejua unavyonikosha kwa update zako we acha tu.
Mungu ambariki saaana wacha tujivunie matunda ya rock citySio wewe tuu, yaani huyu mdada hajajua tu anavyotufurahisha kwa maneno yake.
Aya kung'uta miguu yako usepe.sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!
marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,
Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
In football anything can happen,but formwise soccer la Barca liko miles ahead,endapo Madrid watashinda itakuwa 8 wonder of the worldsijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!
marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,
Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] marehemu ni yokobus anayeshika nafas ya 10sijakosea, believe me, msiba ni hapa hapa!
marehemu amefariki ghafla, hata alikuwa hana dalili yoyote ya kuumwa JAPO siku mbili tatu nyuma alionesha kuchemka kidogo,
Nipo hapa kwa ajili ya kutoa fARAJA TU NA SI VINGINE!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila Barcelona rahaaaaaaaaaaaaaaa As ante Mungu kwa kunifanya niishabikie Barcelona nikitafakar endapo ningekuwa nashabikia epl cjui sura yangu ningeiweka wapi Kiukweli Tunapaswa kujivunia kwa kuishabikia BarcelonaIn 2 hours time blanket ban inaanza on all Barca players kutumia social media-hawatakiwi kuwa distracted sababu the task facing them is gigantic.Hapa Barcelona wapenzi wanadai ushindi chini ya goal 3 ni sawa na kufungwa.Neymar amewajibu kwa tweet-tumikusikieni
Huenda hayo ni majira ya sisi tulio huku Afghanistan[emoji87]game hii inachezwa mda gani kwani kuna sehemu naona inacheZA SAA 23:05
anakula 4-6.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] viva BarcelonaWakuu hapa Barcelona, Spain ndani ya Camp Nou si mchezo. Kuna shamrashamra za hali ya juu saaaaana.
Nipo nje na wakatalunya naangalia wanavyoburudika, kila mmoja anafuraha ya ajabu na akitegemea ushindi mnono. Mimi na mwenyeji wangu bado tunapata vinywaji, tunasubiri muda wa kuingia ndani ya uwanja ufike ilo tuingie.