FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

of all the managers in this world, Luis enrique just got outclassed na Zidane..lol
 
Watu wa Madrid mkumbuke Refa alitunyima penati yetu siyo mbwabwaje tu humu
 
Yote heli.....tuna gape la point saba sasa tujitahid kwa game zilizobaki aisee....mes que un club
 
Watu wa Madrid mkumbuke Refa alitunyima penati yetu siyo mbwabwaje tu humu
Penalty ya rede au tenisi
Bashalona oyeeeeee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nesi kauliwa lile vazi lake yupo uchi
Suzy kawekwa gheto na Pepe
Neema yupoyupo tu mashauzi km mbuzi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kwisha habari yao
 
Penalty ya rede au tenisi
Bashalona oyeeeeee
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nyie goli mlilofunga lilikuwa la rede au? Umesahau zile nne?
 
of all the managers in this world, Luis enrique just got outclassed na Zidane..lol
Nakumbuka world cup moja ivi wakati ronaldihno yuko on fire zizzou alimpiga darizi yeye na wenzake na kuwaonyesha hakunaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…