Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
...inategemea unacheza na nani, Atleti sio Wolfsburg!Aliyoyafanya ronaldo jana leo nilitegemea hawa mapimbi wetu wangecheza jihad ila imelegea utafikiri wanatokea kona bar
Duhhh!! Relax tuombe heri tu....Aliyoyafanya ronaldo jana leo nilitegemea hawa mapimbi wetu wangecheza jihad ila imelegea utafikiri wanatokea kona bar
...inategemea unacheza na nani, Atleti sio Wolfsburg!
Hesabu za kocha hazijakaa sawa. Ukiona atletico kaacha ule uchezaji wa kibabe na anacheza kistaarabu lazima ujiulize mara mbili....inategemea unacheza na nani, Atleti sio Wolfsburg!
Sanaaaaa.....nimeamini ule mwiko wa kuchukua UEFA Mara mbili mfululizo hauvunjiki aiseee.....dohhh hakuna ambaye alitegemea kweli Athetico you deserve it mmejua kutumia mbinu vizuri.....Barca no plan B.....inauma aisee