FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

...sishangai kbs mtoto wa mama kama huyu kukimbilia Real,huko ndio nyumbani kwao!,Real si ndio klub ya watoto wa mama,inatunzwa na mfalme!


We ushawahi kufika Barcelona? Jiji limejaa transexuals mpaka utaogopa kuchukua mchumba.
 
Nimekumiss tuu my Ntuzu.
Vipi lakini... hili suala la hii timu ndogo bwahahahaaaaaaaaa
Huyu dogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
PNC 1 sio wa kumzingatia ni mtu asiyejielewa, kwenye mechi real madrid alisema wakifungwa anaacha kushabikia mpira....hola

mechi ya atletico alisema wakifungwa atajipiga ban....wamepigwa ....hola bado yupo anazururA tuuu humu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…