...wenzenu tunapiga 8 wewe unafurahia comeback!.Umeiona ile come back? Wangekuwa wakatalani ndio adios!
...wenzenu tunapiga 8 wewe unafurahia comeback!.
...angalia straightforward huku,sio kutoka nyuma!,sie tunaanzia mbele!Mbona ukumpiga mtu nane kwenye robo fainali ya champion league?
...angalia straightforward huku,sio kutoka nyuma!,sie tunaanzia mbele!
...aisee una kumbukumbu ndogo,how old are you?!Kama Ronaldo alivyowafanya Camp Nou
ngoja tuenjoy kandanda
Safi sana kijana umemjibu vizuri sana! Na Leo nimeona jamaa wa barca kashika mpira kwa mikono match ya barca na sporting leoMbona ukumpiga mtu nane kwenye robo fainali ya champion league?
Anakumbuka 2 kwa 1,anasahau 4...aisee una kumbukumbu ndogo,how old are you?!
Nasubiri uliyoandika yatokee hatrick , kandanda safi na Suarez Mimi mvumilivu sana pasipo kusahau sisi tunapiga naneLeo ni sherehe CAMP NOU yatakuwa maumivu mengine kwa wapinzani wetu FC BARCELONA vs S.GIJON
SAA 3:30 USIKU E.A.T
KARIBUNI SAAAAANA NAZIONA GOLI ZAID YA 5 LEO MESSI HATTRICK SUAREZ ATAMKUTA PENADO NA NEYMAR ATAONYESHA MAUFUNDI SAAAANA
VIVA BARCELONA
Basi sawa mfukunyukuNasubiri uliyoandika yatokee hatrick , kandanda safi na Suarez Mimi mvumilivu sana pasipo kusahau sisi tunapiga nane