FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Fc Barcelona mabingwa wa dunia tumebakiza mechi 3 ili kukamilisha ratiba ya La Liga
Mechi hizo ni
Real Betis (away)
Espanyol (home)
Granada (away)

Mungu atusaidie
VIVA BARCELONA
 
Suarez ana nafasi ya kuongeza gap ya kuelekea kwenye pichichi na ueropean boot baada ya ronaldo kushindwa kurecover in time kuweza kucheza leo GO BARCA GO SUREBOY
 
Reactions: PNC
Manel Vich missed only 3 games in his 60 years at Barcelona.

2 because he had a kidney operation and 1 because his daughter was getting married.

RIP LEGEND!!! You will always stay in our hearts.

Barca lost two legends this season:
Johan Cruyff and now Manel Vich.
 
...leo tena km kawaida,tunachezea kwenye final third yao tu!,hakuna kurudi nyuma,mpaka zifike sita!
 
mechi hivi ambavyo hawa jamaa wanakaa juu kwa muda zinanitesa sana. tukidraw tu tumeisha. bila shaka wachezaji wana stress ya kufa mtu.
 
13 C. Bravo
3 Piqué
4 I. Rakitić
5 Busquets
6 Dani Alves
8 Iniesta
9 L. Suárez
10 L. Messi
11 Neymar
14 J. Mascherano
18 Jordi Alba.


Dk 0:0
Real Betis vs Barcelona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…