UongooooFc Barcelona wanatisha saaaana kama huipendi ni kujipa vidonda vya tumbo
Huwaga natokea kama LikerNisubiri tu.sikuoni kule sikuhizi kulikoni???
Nitajitoaje wakat nilikuwa kifungoniWe jamaa
Kwani kule ulijitoa!!?
Man u buana[emoji3] [emoji3] pigeni domo sie tunaongeza ndooUongoooo
HayaHuwaga natokea kama Liker
Karibu bhana siku moja mojaHuwaga natokea kama Liker
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nitajitoaje wakat nilikuwa kifungoni
Man u buana[emoji3] [emoji3] pigeni domo sie tunaongeza ndoo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] man u ikichukua kombe moja Barcelona anachukua kumi Yokobus ikichukua moja Barcelona anachukua 8 Liverfool ikichukua moja Barcelona anachukua 14.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na sisi tuta ongeza tyuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] man u ikichukua kombe moja Barcelona anachukua kumi Yokobus ikichukua moja Barcelona anachukua 8 Liverfool ikichukua moja Barcelona anachukua 14.
Arse8 ikichukua kombe moja Barca atatwaa makombe 57[emoji1]
Ikiwa kama Madrid miaka 8 kachukua La Liga mara 1 kwa nini unabisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo dharau kwa kweli sikubalian nayo
AaahIkiwa kama Madrid miaka 8 kachukua La Liga mara 1 kwa nini unabisha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi ndio hvo nanyi mtaendelea kutuachiaAaah
Alikuwa ana waachia tuu [emoji3]
Mkuu huyu mtu ni wa kumpuuza yani anaona ni bora Barcelona ikose la liga kuliko man u ichukue UefaHivi kwenye soka la sasa hivi mtu bado unaongelea mambo ya kuachiwa kweli??
Kwa sasa neymar hawezi toka Barcelona mkuu, kuwa na amaniKuna tetesi kuwa Neymar anataka kujiunga na PSG ya france
Hivi kaifunga timu gani!!?View attachment 355615Messi kamjibu teja kwa vitendo[emoji1] [emoji1] [emoji1] dk 30. HAT TRICK
Usiamini tetes zenye madhara kwenye club yetu na hyo ndio Falsafa ya Mwana BarcaKuna tetesi kuwa Neymar anataka kujiunga na PSG ya france