FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo Timu ya taifa inayochukiwa zaid ulaya
Naizungumzia Spain ipo uwanjani huku Barcelona ikianzisha wachezaj wa 4 kati ya wa5 huku Marc Batra akiwa ni mchezaji pekee wa Barcelona kuwa bench na hii ndio sababu watu hawaipend Spain sababu ukiishabikia ni kama unaishangilia Barcelona
Linalowakera zaid Madrid imeingiza mchezaj mmoja tu Ramos

VIVA SPAIN VIVA iniesta Pique Bosquet Alba na Super sub Batra
 
Unaongelea timu ya taifa ya Spain au Real Madrid? Mbona ueleweki. Wachezaji wa Real wanacheza timu za taifa za nchi zao au ulitaka wachezee Spain hats kama sio raia? Au hujasikia mziki wa Kroos na Modrid Jana?
 
Gooooooool dakika ya 87
Pique assist by Iniesta
 
Oh my! Huyu Iniesta mbona kazeeka ghafla? Kapata kipara ndani ya wiki mbili Tu. Anyway, lakini mashine bado poa
 
Reactions: PNC
Oh my! Huyu Iniesta mbona kazeeka ghafla? Kapata kipara ndani ya wiki mbili Tu. Anyway, lakini mashine bado poa
PAGAN unashabikia Spain? Alba to bosquet bosquote to Iniesta iniesta to Pique. Gooooooooool wonderful gooool
 
PAGAN unashabikia Spain? Alba to bosquet bosquote to Iniesta iniesta to Pique. Gooooooooool wonderful gooool

Man mi nimeishi Kule more than a decade, nilikwenda hata sijafikisha miaka 20, mpaka last year ndio nimeondoka man. Kwahiyo sio kwa ajili ya mchezaji flani. It is a logical Mimi kuishangilia La roja man
 
Hongera mkuu ila Sikumoja nitafika camp nou[emoji45] [emoji45] japo ni ndoto
 
😀😀 Hapo umenena, jana mashabiki wa madrid wamegeuka kuwa Barcelona fans, wakasahau kuwa wao ni madrid fans...

Alfajir ya kesho tujiandae kuuwa mtu...
Albiceleste & Venezuela, hapa kazi tu
 
Reactions: PNC
Oh my! Huyu Iniesta mbona kazeeka ghafla? Kapata kipara ndani ya wiki mbili Tu. Anyway, lakini mashine bado poa

Huyu jamaa ni best zaidi ya wachezaji walioko nyuma ya mfalme wa Soka, chakushangaza hajapewa balon d'Or
 
Reactions: PNC

Vile vile wanaichukia kwa sababu

1-wanalijua soka
2-Barcelona
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…