FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ubora wa mchezaji sio kufunga magoli/kutoa assist.Canavaro alikuwa mchezaji bora na hakufunga goli wala kutoa assist
Kwa maana hyo Bale na Greezman ni bora kuliko KING
 
haahahahah...nyumba imepoa hii, ila namtafuta PNC1, akionekana mwambie kuna mzigo wake kausahau huku dumila
 
Reactions: PNC
MAZEEE MAZIMA YENYE NDEVU ZA MWENDOKASI yanakanYAGWA 4 NILL na vijana waDOOOOGOOOO akina ORIGI???
 
MAZEEE MAZIMA YENYE NDEVU ZA MWENDOKASI yanakanYAGWA 4 NILL na vijana waDOOOOGOOOO akina ORIGI???
Ati mazes mazima yanakanyagwa 4 nill......huenda ni bahati mbaya....ila Liverpool Leo waliupiga wa kutosha....

pole kwa kipigo.....#YNWA#
 
Hakuna shabiki wa SOKA duniani anayeweza kuwaita LEICESTER CITY mabingwa UCHWARA..!
Over!!!!
EPL hata Yanga anaweza akabeba kombe baada ya misimu miwili, EPL timu zote zinafanana viwango, kwa kifupi hamna timu ambazo zinatisha kwelikweli kwa kulinganisha na Barca, PSG, Madrid, Bayern, Atletico n.k
 
EPL hata Yanga anaweza akabeba kombe baada ya misimu miwili, EPL timu zote zinafanana viwango, kwa kifupi hamna timu ambazo zinatisha kwelikweli kwa kulinganisha na Barca, PSG, Madrid, Bayern, Atletico n.k
Hata YANGA anaweza akabeba KOMBE..!!!?
Basi Sawa..!!!
Nashukuru kwa kunifahamisha...
 
Messi reaction after the game.

"I never concentrated l was listening to you will never walk alone Luis always talk about it. We were humiliated today but l see this Liverpool team raping Manchester teams and Chelsea. It's not a secret that l like Liverpool and l might consider my future next season," he told ESPN.

#YNWA
 
Welcome
 
Kwa msimu uliopita YES

Kwani CR7 ni bora kuliko Messi ?

Griezman hakua bora kuliko mess tuache chuki. Sema tu Griezman kwa level yake alijitahidi ila usiseme zaidi ya messi. Messi alichukua vikombe viwili Griezman hakugusa kitu. Messi ana assist na magol mengi kuliko griezman pamoja na kua messi hakucheza kwa miezi kama miwili msimu uliopita. Kama kufika final ya euro basi hata messi alifika final ya copa America. Tatizo watu tunamweka messi kwenye standard ya juu kuliko Mchezaji yoyote dunia ndo mana unaona kama messi hakuwa katika ubora. kuna msimu mmoja Ronaldo alichukua balloon dor akiwa ana la liga tu ila messi leo hii mwenye laliga, copa del rey na final ya copa America anaonekana hafai hata kua kwenye tatu bora. Mimi naamini ingekua ronaldo amepata mafanikio alioyapata messi msimu uliopita lazima angekuepo top 3 na hata ballon dor angechukua ila kwa messi vitu kama hivi ni kawaida tu sio ajabu. So kwangu Griezman kuwepo hapo ni sawa coz alijitahidi kwa level yake ila haimaanishi alikua bora kuliko messi. Na ronaldo anastahili tuzo kwasababu ya mafanikio alioyapata ila kiwango chake msimu uliopita kilishuka sana. Bale sina coment maana sielewi kafikaje top 3.
 
MAZEEE MAZIMA YENYE NDEVU ZA MWENDOKASI yanakanYAGWA 4 NILL na vijana waDOOOOGOOOO akina ORIGI???

Hahahaa acha na wao waione dunia ya kwao maana hawakuamini kuifunga 4 Barca the big club in the world!
 


Mafuta kwa mgongo wa chupa mainz 04
 
FC BARCELONA ITACHEZA NA SAMPDORIA KABLA YA KUKUTANA NA SEVILA SUPER CUP
 

1.Football ni team work sports not individual sports like tennis/golf

2.Ubora wa mchezaji haupimwi kwa assist na magoli peke yake hata beki/golikipa anaweza kuchaguliwa kuwa mchezaji bora

3.Kama unajua standard ya Messi huwezi kubisha kuwa huu haukuwa msimu wake mzuri,aliyoyafanya misimu iliyopita ndio yanafanya aonekane msimu uliopita amechemka.Na sidhani kama kuwa kwenye top 3 kwa Messi ni mafanikio

4.Griezman alikuwa mchezaji muhimu kwa Atletico na France (Ndio mchezaji bora wa Euro 2016)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…