nasikia wanambania tuzo za ulaya!? ngoja awatie aibu.Suareeeeeeez Goooool
Barcelona 6 Betis 1
Suarez Hat-trick
Viva Barcelona
unamjua anaeongoza ufungaji na assists kwenye ligi zote?Unampaje tuzo ya ulaya mchezaji ambaye timu yake ilitolewa kabla hata ya kufika fainali kwenye club bingwa ulaya , umpe tuzo umuache mchezaji ambae kaongoza ufungaji wa magoli kwenye uefa champions league,kachukua club bingwa ulaya, mfungaji wa ujumla katika ligi zote, kisa washabiki wa barca hawampendi haya ni maajabu ,sio hivyo tu subirini mchezaji bora wa dunia hapo povu litawatoka ,alichukua messi fair akichukuwa tofauti na mchezaji barca unfair, football sio hisia jmn mchezo wa wazi
Unampaje tuzo ya ulaya mchezaji ambaye timu yake ilitolewa kabla hata ya kufika fainali kwenye club bingwa ulaya , umpe tuzo umuache mchezaji ambae kaongoza ufungaji wa magoli kwenye uefa champions league,kachukua club bingwa ulaya, mfungaji wa ujumla katika ligi zote, kisa washabiki wa barca hawampendi haya ni maajabu ,sio hivyo tu subirini mchezaji bora wa dunia hapo povu litawatoka ,alichukua messi fair akichukuwa tofauti na mchezaji barca unfair, football sio hisia jmn mchezo wa wazi
Hyo tuzo ya mfungaji wa jumla inaitwaje??Pichichi kachukua Suarez ndio ,tunaposema mfungaji wa ujumla tunamaanisha uefa+ laliga , uefa+ EPL ,uefa+ bundas, uefa+ europa+ EPL/laliga ect sasa uongo wangu uko wapi uwe fair ndg
Na tufikiri asingezifunga timu ndogo Madrid ingefika hapo fainali ?
Ronaldo hajawai kuifunga team gani kubwa nitajie ?
Mimi nafikiria kutokucheza kwake Uefa kumechangia Golikipa kama bravo ni ajabu kuwekwa benchi UefaIts most likely Bravo is on his way out-we wish him all the best, At Barca we understand keeping two top notch goal keepers happy is one hell of a job,as such we thank him for the good memoirs
Heshima kwako mkuu
Tumepoteza kipa mzuri sanaView attachment 386617kwa Bravo Barcelona tumefanya kosa kubwa sana kwani huyu ni golikipa mzur saaana
Tunamtakia maisha mema kwa timu yake mpya ya Manchester City
Sasa kosa ni lipi? Bravo ametaka kuondoka what do you do,Barca hawezi shindana na moneybags Sheikhs wa Man City. Kitu kimoja nachojua Barca when it comes to goalies-its never been a problemView attachment 386617kwa Bravo Barcelona tumefanya kosa kubwa sana kwani huyu ni golikipa mzur saaana
Tunamtakia maisha mema kwa timu yake mpya ya Manchester City
Ukiangalia zaid tatzo kwa Bravo haikuwa pesa ila tatzo ni kucheza UEFA czani kama kunagolikipa asiyependa kucheza kimataifaSasa kosa ni lipi? Bravo ametaka kuondoka what do you do,Barca hawezi shindana na moneybags Sheikhs wa Man City. Kitu kimoja nachojua Barca when it comes to goalies-its never been a problem
Tatizo vilevile ni kwamba the other keeper is also good huwezi kumuweka bench kikaelewekaUkiangalia zaid tatzo kwa Bravo haikuwa pesa ila tatzo ni kucheza UEFA czani kama kunagolikipa asiyependa kucheza kimataifa
Ni kweli ila sio uzur kama wa Bravo na ndio sababu hata Guardiola kafungua milango ya wazi kwa Hat endapo ataamua kuondoka anaruhusiwaTatizo vilevile ni kwamba the other keeper is also good huwezi kumuweka bench kikaeleweka