Defence ya Barca inalinda sana goal keepers-invisibility ya Bravo itakuwa tested sana City. Guadiola anataka a goalie who can play the ball,but kama defence ni suspect hapa ni sucide-i don't think hii defence ya city can handle situation hii. what I think ni Bravo may have made a wrong moveNi kweli ila sio uzur kama wa Bravo na ndio sababu hata Guardiola kafungua milango ya wazi kwa Hat endapo ataamua kuondoka anaruhusiwa
BINAFS NAONA BRAVO ATANG'ARA SANA NA BARCA tunaweza juta japo si sana sababu UKUTA wetu unatia moyo
Hapana mkuu bado tuna kipa imara sana, Marc-Andre ter Stegen alikuwa anamkarisha bench Bravo, mpaka Luis Enrique alipokuwa anaulizwa kipa namba moja wako ni nani akajibu hadi sasa hajapata kipa namba moja atakayekuwa anakaa golini mda wote maana makipa wake wote wawili ni wazuri na nina uhakika Enrique hawezi kumuuzia Guardiola kipa wake mzuri kuliko wote hata kama ni marafikiNi kweli ila sio uzur kama wa Bravo na ndio sababu hata Guardiola kafungua milango ya wazi kwa Hat endapo ataamua kuondoka anaruhusiwa
BINAFS NAONA BRAVO ATANG'ARA SANA NA BARCA tunaweza juta japo si sana sababu UKUTA wetu unatia moyo
Hapana mkuu bado tuna kipa imara sana, Marc-Andre ter Stegen alikuwa anamkarisha bench Bravo, mpaka Luis Enrique alipokuwa anaulizwa kipa namba moja wako ni nani akajibu hadi sasa hajapata kipa namba moja atakayekuwa anakaa golini mda wote maana makipa wake wote wawili ni wazuri na nina uhakika Enrique hawezi kumuuzia Guardiola kipa wake mzuri kuliko wote hata kama ni marafiki
Na ikumbukwe Marc Andre ter Stegen bado ana umri mdogo sana compare na Bravo ambaye tayar ana miaka 32, ter stegan ni product ya muda mrefuHapana mkuu bado tuna kipa imara sana, Marc-Andre ter Stegen alikuwa anamkarisha bench Bravo, mpaka Luis Enrique alipokuwa anaulizwa kipa namba moja wako ni nani akajibu hadi sasa hajapata kipa namba moja atakayekuwa anakaa golini mda wote maana makipa wake wote wawili ni wazuri na nina uhakika Enrique hawezi kumuuzia Guardiola kipa wake mzuri kuliko wote hata kama ni marafiki
Yah, hili nalo neno. Kama ni mkataba mbona inasemekana mkataba wake yeye ni League tu!? Stegen bado ni mdogo na ni mzuri pia, acha akae golini tuu.Tatizo vilevile ni kwamba the other keeper is also good huwezi kumuweka bench kikaeleweka
Guardiola ni tahira tu, unamuachaje Hart na kumchukua Bravo?Ni kweli ila sio uzur kama wa Bravo na ndio sababu hata Guardiola kafungua milango ya wazi kwa Hat endapo ataamua kuondoka anaruhusiwa
BINAFS NAONA BRAVO ATANG'ARA SANA NA BARCA tunaweza juta japo si sana sababu UKUTA wetu unatia moyo
Yaani wewe bint unaongea point saana, ungekuwa shabiki wa Man U au Madrid hakika ningeandama uje Barcelona.Defence ya Barca inalinda sana goal keepers-invisibility ya Bravo itakuwa tested sana City. Guadiola anataka a goalie who can play the ball,but kama defence ni suspect hapa ni sucide-i don't think hii defence ya city can handle situation hii. what I think ni Bravo may have made a wrong move
wewe nakuamini sana ktk anything football-nahisi kuna mtu kachukua password yako--kweli unasema Hart ni bora kuliko Bravo?? AU na unasoma too much of the English press??Guardiola ni tahira tu, unamuachaje Hart na kumchukua Bravo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] huyo ni Yanga kipigo cha Congo kinamchanganya(natania)wewe nakuamini sana ktk anything football-nahisi kuna mtu kachukua password yako--kweli unasema Hart ni bora kuliko Bravo?? AU na unasoma too much of the English press??
Kiukweli bravo ni kipa mzuri sana tu japo bado tu Ter stegen .View attachment 387405 kwa heri BRAVO
njia ya balon dor
[emoji57] [emoji57] haiwez vuma kama KING KUBADIL NYWELE kila mtu anajua katengenezewa et tatu bora SUAREZ HAYUPO wala KINGHatimaye mchezaji wa team ya Barcelona Cr7 amechukua tuzo ay wamnasoka bora wa mwaka usiku huuView attachment 387618[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Sasa Nesi awekwe kwa lipi alilolifanya msimu uliopita?[emoji57] [emoji57] haiwez vuma kama KING KUBADIL NYWELE kila mtu anajua katengenezewa et tatu bora SUAREZ HAYUPO wala KING