Jameni tuwaombee Arsenal, tukutane nao, pia wale 6. Make noana wamejikakamua (PSG 1:Arsenal 1).
Mmeanza kwa kishindo..[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nimejikuta narudiarudia tu majina ya hawa watatu msnKing leo..... lapuga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kisasi...hahahaha MSN back in business...hawa watoto washenzi sana leo tumewaadabisha View attachment 399695
Neymar ni mchezaji wa kipekee sana.Mchezo wa leo Neymar katoa asist 4 na Suarez kalingana na Messi wote wametoa asist moja moja MSN COME BACK AGAIN
kama ni kipigo hawa wamekuwa hanged, drawn and quartered.BARCELONA WIKI CELTIC 0[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nashani kadri siku zinavokwenda na anavopata nafasi zaidi atakua sawa tuUmtiti amekamua unono sana. kila akigusa mpira cules wanashangilia. ametulia sana ila naona ana shida ya speed.