BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Tatizo sisi wana Barca uwa tuna demands kubwa sana-sasa defence ya nini wakati MSN wako mbele-tukifunga duka mpira wa Barca uta bore-tunapo forage mbele huku nyuma lazima kuwe na holes ambazo enemy now and then ata exploit-Its in Barca philosophy that the battle will take place in enemy territory kama ilivyo 6th amendment inayomruhusu mmarekani kubeba gun- anything short of that Barca will no longer be a joy to watchcongregation wanabarca wote, nimekosa mechi nzuri sana. ila defence yetu imekuwa mbovu. mpaka sasa tumeruhusu goli tano, madrid 3 na atletico 1
nilikuwa nahisi defence imepwaya labda sababu ya Alves na Bravo na si sababu ya style ya kucheza. timu inakuwa haipandishi sana mpira. ile mechi na Bilbao mpira ulichezwa sana kwetu hadi stergen akaweka record ya pasi. nafikiri muda unavyokwenda itakaa sawa.Tatizo sisi wana Barca uwa tuna demands kubwa sana-sasa defence ya nini wakati MSN wako mbele-tukifunga duka mpira wa Barca uta bore-tunapo forage mbele huku nyuma lazima kuwe na holes ambazo enemy now and then ata exploit-Its in Barca philosophy that the battle will take place in enemy territory kama ilivyo 6th amendment inayomruhusu mmarekani kubeba gun- anything short of that Barca will no longer be a joy to watch
ITS true Barca bado haijakaa sawa-Barca trump card yake ni kuwa na mpira saa zote na somewhere along ku score goal-hii rhythm ikiwa disrupted kama mechi ya leo first 15 minutes inakuwa taabu-uzuri ni kwamba kuwa disrupt Barca you need stamina-sooner or later opposing teams zinachoka Barca ana take overnilikuwa nahisi defence imepwaya labda sababu ya Alves na Bravo na si sababu ya style ya kucheza. timu inakuwa haipandishi sana mpira. ile mechi na Bilbao mpira ulichezwa sana kwetu hadi stergen akaweka record ya pasi. nafikiri muda unavyokwenda itakaa sawa.
Kapigwa Ban mshamba yule.Hongeren sana Baserona kwa ushindi nikiwa nyumaenu. PNC simuoni kabisa
Kapigwa Ban mshamba yule.
'congregations' kwao. kwa moto walioanza nao mwaka huu natabiri watakuwa na goli nyingi kuliko mwaka jana.View attachment 402788
Best trio ever.
Hawa jamaa wanatishaaa yani hakunagaView attachment 402788
Best trio ever.
Amewaita mashabiki wa Man U 'mbwa'.Dah pole yake aise..Tatizo nini
Kuna tofauti ya kusema WEWE NI MBWA na PIGA MBWAAAAA[emoji1]Amewaita mashabiki wa Man U 'mbwa'.