FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

la muhimu mkuu tusipate majeruhi sababu jumatano tunaingia mzigoni tena
nafikiri ndiy
Mkuu ucwaze sana zama youtube angalia magoli halafu tukutane jumatano UJERUMANI
nahisi jumatano tutakuwa wa moto sana maana mashine nyingi zilikuwa zinapoa benchi na pia siku za karibuni tunafanya poa sana ugenini.
 
BlackPanther Jaqline Cossovoman Monasha Good96 Ibrah404 Aleyn Chebi Red Giant otterhound mpo wapi BARCELONA TUNACHINJA HUKU

Tupo mkuu, mechi ya leo umeionaje lakini without messi? kidogo imepoza, also we did not play well enough, si-unajua tena King akikosekana mchezo kidogo unachenj, hata zile ticktaka hazionekani kabsaa.... anyway congrats kwa 3 points and 5 gols safi sana,
 
ni kweli mechi imepooza haikuwa na shamrashamra kama tulivyozoea hata ushindi wa 5:0 haujawa habar ya dunia kama anavyokuwepogi MESSI ila nafikir inabd tuzoee kwani itafika wakat KING hatokuwepo BARCA japo itakuwa ni siku mbaya ila tutakuwa hatuna budi
 

Nikweli mkuu inabidi tuzoee tu..no way
 
Reactions: PNC
Mkuu PNC 1 nipo ila sijaona hii game bhana nilikua na shughuli kidogo.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…