FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Anafaa kwakweli, Barca wafanye uamuZi wa haraka bila kuchelewa...
 
Reactions: PNC
Mkuu nimeona reaction yako sehemu ukifurahia mnyama[emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mpira wa kibongo shida sana mkuu wengine tumebet mke[emoji3] [emoji3] halaf refa anazingua yani goli la wazi anasema offside lile la mkono anasema ndilo sahihi[emoji13] [emoji13]

ILA NILIJUA TU MWANAUME HALALI NA NJAA ILA ANACHELEWA KULA[emoji38] [emoji38]

SIPATII PICHA ANGEKATAA NA GOLI LA KICHUYAAA[emoji12] [emoji12]

YOTEKWA YOTE YANGA WAMMALIZIE ELA ZAKE NA

VIVA BARCELONA[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
😀😀Kumbe tuna shabiki wa mnyama humu ee
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sijawai angalia mechi ya mnyama toka 2010 sasa leo nimejitahd sikujua kama mpira wa bongo uko hivi ila hata hvyo kichwa kinauma yani mda wote mpira juu wakat nishazoea mpira chini WAZEE WA TIKTAK
 
ataingia kwenye mechi na man city ILA KESHO TUTACHEZA BAADA YA HAPO NI MECHI ZA KIMATAIFA KWA WIKI MBILI

Hapo patamu aise... Akiwemo profesa napata full amani,nakaa nakunja Nne na ki-pepsi left-side huku napiga kuku kwa mrija acha weee😀😀😀
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] sijawai angalia mechi ya mnyama toka 2010 sasa leo nimejitahd sikujua kama mpira wa bongo uko hivi ila hata hvyo kichwa kinauma yani mda wote mpira juu wakat nishazoea mpira chini WAZEE WA TIKTAK

Pole sana, especially mpira wa ivo unaumisha kichwa tu,hata time zenyewe unaona kama haziendi,unatamani mpira uishe haraka..
 
Reactions: PNC
ataingia kwenye mechi na man city ILA KESHO TUTACHEZA BAADA YA HAPO NI MECHI ZA KIMATAIFA KWA WIKI MBILI
Watching Man city game-City muziki wa Barca hawauwezi-defence yao ni shambles-MSN will have a field day
 
Reactions: PNC
jamaa wakidraw itakuwa poa sana. wamekaa kwenye nafasi yetu.
 
Reactions: PNC
Ni nafasi yetu kukaa kileleni sasa. Wote tumshukuru Mungu kwa matokeo haya ya adui wetu. Na wote tuseme AMEN.
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…