SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Nafikir haina haja ya live update sababu jukwaa limevamiwa
Mathew huwa siku zote nasema siyo beki. Huwa nakataa kabisa huyu jamaa kukaa kwenye hii team
Nahisi tunafanana yani nakosa amani nikimuona tu kwenye starting 11Mi nikishamuona tu mathew najua tushafungwa
Kisa kajifunga?
Pia wachezaji alio wasign Luis enlique hawana cha maana kabisa
Pigaaaaaaaaa updates plzyameanzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
MSIONDOKE HATERS KWA UPDATE[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]