FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yani mm nikishamuona huyo methew najua tunapigwa yan huyu hafai hata kuwekwa benchi auzwe tu....ndio auzwe wa kazi gani sasa yani hana kiwango cha kucheza Barcelona
 
ngoja nitoe pole ya kinafiq humu!

poleni bashalona!
 
Nafikir haina haja ya live update sababu jukwaa limevamiwa
mkuu umegeuzwa salome leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
yameanzaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa


MSIONDOKE HATERS KWA UPDATE[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
usingizi ulinipitia naweza sema ni blessing in disguise. siwezi kuelezea mechi ila Matthieu ni hewa kitambo. sijui anahisa pale?
 
Duuh Jana matheu kazingua. Sijui kwa nn Enrique analipenda hili boya yani ni lakuuziwa ligi Daraja la 3 huko. Alafu pia atafute solution pale Busi anapodrop form maana tutaumia sana. Kutokuepo kwa messi ni shida kubwa tu kwa Luis Suarez. But pique to me is our hero.
 
Game ya Jana haikufaa kumuanzisha matheu badala ya masche kwa timu kama celta that man matheu sijawahi muamini from day one
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…