[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo jana aliumia sana kutokufunga ngoja leo MESSI aendelee kuuonyesha ulimwengu kuwa yeye si wakawaidaLeonel messi achieved another milestone in his illustrious career , Messi become player to scoer more league goals while playing at home. Surpassing Telmo Zarra tally of 179. Messi alivunja record hiyo alipoingia akitokea bench kwenye game ya jumamosi ikiyopita dhidi ya Granada. Messi amefikisha goal 180.
List ya waliofunga magoli mengi wakiwa nyumbani kwa la liga.
1. King Messiah
2. Telmo Zarra
3. Di stefano
Anaekuja kwa mbali na bado anacheza ni mremba christina Ronaldo
Ila mkuu nasikia alifunga la 6Kwa timu dhaifu kama ile alitegemea afunge akaishia kutoa assist.
Kwa kwwli kaumia sana.
hili goal hunifanya niamini telepathy ipo.Ila mkuu nasikia alifunga la 6
Real Madrid vs Legia Warsaw
Score: 6 - 1
Min: 102
[emoji460] Goal!! Cristiano Ronaldo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
umeeleweka mkuu ila ngoja wajuzi wajewakuu nataka kustream live game yetu vs man city kwa kutumia PC...nitumie web gani...? nadhani mmenielewa
kuna kitu inanimix. nani anakaa right back?KIKOSI CHA BARCELONA KITAKACHOANZA
Barcelona: Ter Stegen, Mascherano, Pique, Umtiti,
Jordi Alba, Sergio Busquets, Rakitic, Iniesta,
Neymar, Messi, Suarez.
wasije wakachelewa tu kuja game ikanipita...hahaahaumeeleweka mkuu ila ngoja wajuzi waje
goatd.netwakuu nataka kustream live game yetu vs man city kwa kutumia PC...nitumie web gani...? nadhani mmenielewa
mkuu hii goatd.net hua kwangu inanisumbua sana sijui kwaniigoatd.net
[emoji1] [emoji1] [emoji1] tuombee waje haraka ikigoma tumia mobdro ila ni kwa androidwasije wakachelewa tu kuja game ikanipita...hahaaha
labda hauna flashplayer?mkuu hii goatd.net hua kwangu inanisumbua sana sijui kwanii