Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,001
- 933
Messi anachezea team gani?Tofauti kati ya Barcelona na teams nyingine ni MESSI [emoji91][emoji91][emoji91]
Stand united.Messi anachezea team gani?
KWANI WEWE UPO THREAD GANI??Messi anachezea team gani?
[emoji23][emoji23][emoji23] Maswali mengine bwana.KWANI WEWE UPO THREAD GANI??
Nilikuwa nasemaga sana kuwa Pep ni kocha wa kawaida tu ila watu mkawa mnabeza. Barca ni Messi, ni hatari mno huyu mtu.LEO NDIO IMEJIDHIHIRISHA KUWA MESSI NDIYE ALIMFANYA GUARDIOLA AJULIKANE NA SI GUARDIOLA KUMFANYA MESSI AJULIKANE
Matamanio yako yamekuwa kweli bhana.Natamani apige hat-trick
Tueleweshe na sisi mkuu.Nimeelewa why gadiola alimchukua bravo soon alipohamia man city..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe beki wetu alipatwa mathew ndo maana tumepata cleansheet otherwise yangetokea mengine
ile rafu kila mtu alishangaa. hata enrique alistaajabu. Rahimu alikuwa anakimbilia kwenye corner. hakuwa hatari hivyo.Kumbe beki wetu alipatwa mathew ndo maana tumepata cleansheet otherwise yangetokea mengine
hahahah yametimiaNatamani apige hat-trick
poleni sana ...Sio guardiola aliyetuhumiliate zile final 2 ni Xavi, iniesta na huyu mchawi wa soka MESSI.
Tulishapoa.poleni sana ...