Huyu yuda ndo maana nilimwambia mtoto mbaya saana huyu, kanifanyia unyama mkubwa mno.wakuu mbona mnahitilafiana sababu ya huyo Yuda wa mwanitesa united
Acha uchawi wewe, everlenk acha avatar yako hiihii.
Sawasawa Mkuu, ngoja tuone.😀😀😀 acha wivu aise,..ngoja tuone kati yangu mie na wewe atachukua ushauri wa nani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wakuu punguzeni maneno ya kichochezi kwa mpendwa wetuKutokana na Game ya jana mimi niliona ile red ya Jeremy ni sahihi kabisa sababu ile kasi ya Sterling sio ya kawaida, kwa speed yake angeweza kuingia ndani ya Box na kusababisha goal.
Safi sana Jeremy kwa kummaliza kulekule juu ila tu tukwambie kwamba hauna maisha marefu Barca.
unyama mkubwa zaid ya wa scorpion[emoji15] [emoji15]Huyu yuda ndo maana nilimwambia mtoto mbaya saana huyu, kanifanyia unyama mkubwa mno.
Kutokana na Game ya jana mimi niliona ile red ya Jeremy ni sahihi kabisa sababu ile kasi ya Sterling sio ya kawaida, kwa speed yake angeweza kuingia ndani ya Box na kusababisha goal.
Safi sana Jeremy kwa kummaliza kulekule juu ila tu tukwambie kwamba hauna maisha marefu Barca.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona kampita MMOROCO mwaka mmoja tuHuyu jeremy anamiaka mingapi lakini? Mbona anaoneka babu kabisa, 38 hakosi aise
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!Huyu jeremy anamiaka mingapi lakini? Mbona anaoneka babu kabisa, 38 hakosi aise
Hahahahahhaa bado nipo tu sana ila sikuhizi majukumu yamenilemaa kiasi kwamba sijaifatilia sana nyumba hii,......... bado huko futuhi sasahivi tunakupiga chini tunataka tufocus na ligi zaidi,so matokeo ya Leo sitashangaa vyovyote vile tutapokea.Ooh mrembo, ujambo mama! Unatoa hongera kwani umeshaahama timu. Najua njia kuu ni kule united. Huku ni nyunba ndogo. leo vp utaangalia futuhi au game ya United?
Mambo poa ,aisee habari za siku? Hata Wewe unajua nimekusahau na hii avatar yako?..... hii ni gift from my special one akikusikia yuko hapa hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ever mambo? Nilishaizoea ile avatar yako ya zamani, ebu irudishe maana inanikumbushia mbali sana, 😀
Wewe mtoto nimekukosea nini? Daddy Aleyn si umemuona lakini?........ Mbona Wewe ni Arsenal lakini tumetulia tu tunajua ndo hivyo kipendacho roho ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wakuu mbona mnahitilafiana sababu ya huyo Yuda wa mwanitesa united
unamzungumzia yule msukuma wa BamagaMambo poa ,aisee habari za siku? Hata Wewe unajua nimekusahau na hii avatar yako?..... hii ni gift from my special one akikusikia yuko hapa hapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dady mwenye mtoto yudaDaddy ngoja nikwambie Ukweli PNC ananisakama sana ndo Maana hunioni humu,yaani kila akiniona tu ananitia vidole cha macho sijui nimemkosea nini?[emoji24] [emoji85] , always I admire Barca. .....
Kwendraaaaaaa !!! Hayakusu acha uchochezi!!! yaani unune upasuke nitaingia tu humu ......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dady mwenye mtoto yuda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningeshangaa usingeanza kutapatapaWewe mtoto nimekukosea nini? Daddy Aleyn si umemuona lakini?........ Mbona Wewe ni Arsenal lakini tumetulia tu tunajua ndo hivyo kipendacho roho ....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimetapa tapa wapi Wewe katoto!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ningeshangaa usingeanza kutapatapa