Daaah ninawaswas na mdifilda zetu haziko vizuri kabsa why arda turan out mtu denis suarez in? Nina waswasna huyu kocha maanake usajili wake daaah haujaleta tija kwa barca
Sevilla FC vs BarcelonaLeo lazima uukalie, mechi ngumu kwako hii.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] cha ajabu MESSI anamuumbua kochaKocha ni Madridista huyu kwani we hujui aliwahi kuwa mchezaji wa Real Madrid. Anafanya makusudi tu Barca ifungwe
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] cha ajabu MESSI anamuumbua kocha
HAPO VIP?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] basi sawaMi naenda kulala bhana kesho niwahi box. Ntacheki matokeo kesho asubuhi lakini nilivyoona hii first half hii game lazima muache points hapa.
Hongereni ilikuwa game ngumu sana kwenu ila mlipigana kiume.FULL TIME
BARCELONA 2 SEVILA 1
MESSI&SUAREZ
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] asante mkuu ila hakuna mkate mgumu mbele ya chaiHongereni ilikuwa game ngumu sana kwenu ila mlipigana kiume.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] asante mkuu ila hakuna mkate mgumu mbele ya chai