Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Mpaka sasa Man Utd na Barca wameshakutana mara kumi draw 4 wameshinda mara tatu pande zote. Naombea tuendelee na haka kaform ketu kakutokuconcede away kwenye Champions League na gundu la Barcelona kutokushinda ndani ya Uingereza.