BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Yaani soon takutafuta, maana hali si hali tena.Missing u mo dia kimya sana!!!! .....mimi mbibiii!!
Nimemuona lenk nikajikuta nimefurahi ghafla maana sijamuona kitambo.Daaah leo umerejea tena toka takriban miezi 14 iliyopita
Karibu saaana
atoto unashabikia club gani?Nimemuona lenk nikajikuta nimefurahi ghafla maana sijamuona kitambo.
Karibu tena bibie yaliyopita si ndwele [emoji4]
Huyo ni Fc Barcelona damuatoto unashabikia club gani?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo ni Mamaa Barcelona kama alivyo Jackline 1Duh mshkaji ni wa kitambo!!!! ni Ke au Me?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyo ni Mamaa Barcelona kama alivyo Jackline 1
Barcaatoto unashabikia club gani?
Hahhahaha poyeeeeee !!! Mimi napoza leo kesho nachochea hahahhah kasafari karefu sometym kanachoshaaa ila now utanipendaaa naringajeeee!![emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaani soon takutafuta, maana hali si hali tena.
Hahhahaha poyeeeeee !!! Mimi napoza leo kesho nachochea hahahhah kasafari karefu sometym kanachoshaaa ila now utanipendaaa naringajeeee!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kitu PSG ndani ya nyumba,hope tutashindatupate Benfica au leverkusen. hatutaki tabu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa PSG na man u bora ipiSasa hii imekuwa annual event
Kila siku mna pewa timu nyepesi PSG
mbona zote zilikuwa nyepesi. zilitofautiana kidogo tu.Sasa hii imekuwa annual event
Kila siku mna pewa timu nyepesi PSG
Bora man u [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa PSG na man u bora ipi
Aaahmbona zote zilikuwa nyepesi. zilitofautiana kidogo tu.