Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
uys hii copy and paste nadhani kwa sasa haina mpango bali tu type kama vipi maana sisi wengine muda kama huu tunatumia simu so inakuwa hard kwetu ku view vizuri hii thread ni ushauri wangu tu kwa sasa tusi paste wakuu.....
Alafu nina swali,hivi defence ya ARSENAL,CHELSEA na BARCELONA hivi ni defence gani nzuri kati ya hizo timu tatu???
Baadae msiingie mitini tu kwa wale wote mnaoitakia MAU U ifungwe maana itakuwa aibu kwenu......
Alafu nina swali,hivi defence ya ARSENAL,CHELSEA na BARCELONA hivi ni defence gani nzuri kati ya hizo timu tatu???
Sio wote wanaotumia simu wana unlimited data package sasa unapoweka post ndefu kama hapo wanajikuta wanatumia muda mrefu kuscroll, also kama huna touch screen phone ni mzozo zaidi (speaking from experience).Code:uys hii copy and paste nadhani kwa sasa haina mpango bali tu type kama vipi maana sisi wengine muda kama huu tunatumia simu so inakuwa hard kwetu ku view vizuri hii thread ni ushauri wangu tu kwa sasa tusi paste wakuu.....
mawazo mazuri lakini tuchanganye huduma ya kupashana
habari pande zote mbili......tulio kwenye kompyuta tufaidike
na wale kwenye simu waambulie uwezo wa simu
zao....................