FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwa kweli tunahitaji viungo ambao wakikamata dimba basi wamelikamata kweli. Hawa watoto hawalitendei haki dimba la Barca.
 
Hao uliowataja ndio walimu, ila tatizo la pep ni umapepe na kukosa Plan B. Ila Simeon ni mashine haswa.
 
Sijaongelea Simeon kuja Barca ila ninamkubali kama kocha ambae anajiamini saaana na ana mipango mingi ya ushindi.
Hapo nimekuelewa,maana ni afadhali Barca afungwe kuliko hiyo trademark tiki taka iondolewe maana natives hawataweza kuelewa-Tiki taka took ages to perfect ndio maana unaona Man city wanavyopata taabu kui master-it will take them ages. Lets hope hasira ya kufungwa juzi MSN wanaimaliza leo
 
Kuna haja ya kumbadili kocha naona kama vile anapwaya sana midfield naona kama vile bado sana wanunue beki wa pembeni (segio robert) anatakiwa acheze kati

Yeah absolutely @ mamba1...huyu kocha anatia kichefu-chefu sana,bora musiwe mnalitaja jina lake ntazimia aise. yani pale uwanjani ni juhudi tu ya wachezaji, but kocha hatuna kabisa, amekaa kama sanamu hamna analolifanya....
 
Trust me mwaka huu tunachukua laliga tena,Madrid atayumba sana mwezi wa 2-3 cos hawana kikosi kikubwa cha teplacement kama catalans!!
Tuta win tremble mwaka huu tena

Man unalijua bench la Real Madrid au unaandika tu kwasababu JF ulipii. Sasa watu kama Isco, Morata, James, Asensio, Kovavic etc. wanakaa bench bado unadai hicho kikosi hakina replacement? Labda huijui Madrid. Halafu kuna watu wamekupa likes kabisa. [HASHTAG]#Geez[/HASHTAG]
 
Simeon na principle ya tiki taka wapi na wapi-hawezi kunusa kabisa Barca-sisi tunataka kuwa entertained,mpira uchezwe mbele sio dakika 70 tunalinda goal na kuvizia a sucker punch
Daaah!!
Sja amini kuwa una wapita logic za mpira hawa jamaa wote
Si kwa maana mbaya lakin [emoji23]
 
Reactions: PNC
Leo ni mechi ya La Liga kati ya Fc Barcelona dhidi ya Villarreal
Mechi hii tutacheza ugenini

Mechi itachezwa SAA 4:45 usiku

Viva Barcelona

Tunahitaji point 3
 
Yeah absolutely @ mamba1...huyu kocha anatia kichefu-chefu sana,bora musiwe mnalitaja jina lake ntazimia aise. yani pale uwanjani ni juhudi tu ya wachezaji, but kocha hatuna kabisa, amekaa kama sanamu hamna analolifanya....
Jamani huyu kocha si ndio kawapa treble mwaka juzi na makombe mawili mwaka jana!!?
Hivi wachezaji kwenye lawama hawapo!!?
 
Baada ya miaka miaka kupita, hawa akina Sergio, Messi, Iniesta n.k wakiondoka sidhani kama Barca ataendelea na tiki taka maana hatuoni matunda mazuri sana kwa Barca B.
 
Yeah absolutely @ mamba1...huyu kocha anatia kichefu-chefu sana,bora musiwe mnalitaja jina lake ntazimia aise. yani pale uwanjani ni juhudi tu ya wachezaji, but kocha hatuna kabisa, amekaa kama sanamu hamna analolifanya....
Ila kutafuta kocha kwa ajili ya Barca si mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…