FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wachina wanapata pesa kupitia pay per view
wana wananchi bilioni 1.3
wenye uwezo wa kulipia tv japo milioni 600
imaggine watu milioni 600 ukiwa charge hata dola 50 kwa mwezi utashindwa nni?
ni mfano tu
Hivi kweli China kuna football fever na viwanjani wanakwenda kuangalia mpira? mark my words the bubble will bust
 
Reactions: PNC
umemuona mpendwa wetu🙂
nimemuona mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Barcelona 5 Las Palmas 0
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Barcelona vs Las Palmas
Score: 5 - 0
Match Over!!
 
Kwa kweli leo kulikuwa na harufu ya ile Barca yetu.
Sergio Roberto kusema kweli huwa siyo mzuri kwa ile position anayochezeshwa. Vidal leo kaitendea haki.
Bosquet naye leo kaonyesha umahiri wake tulioumiss kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…