wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
yaani hapo unawaona MSN in HDAsante Sana
4g ya TTCL inahusika Sana hapayaani hapo unawaona MSN in HD
Tunakifuta kimavi cha Annoeta leo trust meneymar anatupia penati 1-0 hawa wanakuja kukabia juu dawa yao pasi ndefu.
Jaribu kwenye link hiyo hapo juu me naiangalia kimagumishi hvyo hvyoDah mechi inanipita hivi hivi...kaazi kweli kweli
Jaribu kwenye link hiyo hapo juu me naiangalia kimagumishi hvyo hvyo
Hawa mbwa leo tumewakamata kuanzia kati na defence yetu leo ina marking nzuri sana kipindi cha kwanza ikiendelea hivi tutawapiga cha pili na tatu second halfHahahaaa mkuu MB ndio zinaishilizia ivo..ngoja niendelee kuangalia matokeo tu....
katikati kuna vita kali. uzuri tuna wazee wa kazi, busketi anafanya mambo.Sociedad wanapiga sana back pass kwa sababu yakuzidiwa
Messi wanamjia kijiji, Neymar anafight leo! lakini kama ulivyosema, it only take a second.MSN bado hawaja click sawasawa-but it only takes a second for these guys to astound the world-we await the second half