Barca 2-0 Alaves at half timeUpdate game ya barca vs alaves
Mkuu hawa usiwaamini sana, kwenye big match hawezi lkn ngoja tuwape mdaNimeanza kumuelewa kocha kwanini Gomez Andres ni first choice 11,pia Aleix Vidal amejitengenezea njia ya kupangwa first eleven anajitahidi kutengeneza copy ya Dan Alves
Goal 5 now tunaongozaMkuu hawa usiwaamini sana, kwenye big match hawezi lkn ngoja tuwape mda
Nafkr team kwa sasa n ngum kuanza kupoteza game kizembe... We are now organized well and effectively...Officially copa de ley ni la kwetu hawa jamaa ni uchochoro sana first half walicheza vizuri sasa hv wamezingua sana !!Goaaal la 6 suarez
Barca is now on the home straight,its now a matter of galloping to the finishing line-on this show we will conquer all that stands on our wayNafkr team kwa sasa n ngum kuanza kupoteza game kizembe... We are now organized well and effectively...
umeme ulinikatikia dk za 30. mtakuwa mmejinoma game!.
inasaidia sana hiyo. inaharibu rekodi ya kuongoza kwa miezi mingi mfululizo.Umekosa uhondo Barcelona waliongoza league kwa muda wa masaa 3 na nusu
Alexis Vidal will be out for 5 months, due to dislocated ankleAlexis Vidal ameumia vibaya aisee anaweza kuwa nje ya uwanja kwa kipindi chote cha msimu kilichobakia
Ile injury imeniuma sana kama imetokea mimi nahisi , najaribu kuvaa viatu vyake daaah kama ulikua unanifuatilia kwenye post zangu since last month ameanza kuchezeshwa nilikua namfagilia kushinda hata anapocheza S Roberto !!hata jana goal moja ni assist yake ,yaani kuna kitu tumekipoteza technically , especially kwenye kushambulia kutokea upande wa kulia pamoja na cross balls zako hatari za right wing ,Sergio yeye anakua mgumu kidogo kupanda au anapanda at wrong time na kutu costAlexis Vidal will be out for 5 months, due to dislocated ankle
Ni kweli mkuu ile injury ni mbaya sanaIle injury imeniuma sana kama imetokea mimi nahisi , najaribu kuvaa viatu vyake daaah kama ulikua unanifuatilia kwenye post zangu since last month ameanza kuchezeshwa nilikua namfagilia kushinda hata anapocheza S Roberto !!hata jana goal moja ni assist yake ,yaani kuna kitu tumekipoteza technically , especially kwenye kushambulia kutokea upande wa kulia pamoja na cross balls zako hatari za right wing ,Sergio yeye anakua mgumu kidogo kupanda au anapanda at wrong time na kutu cost
Mkuu s.roberty n holding mild field typically...cjui kwa nn jamaa aliamua kumchezesha right fullback.. Yuko very slow...lakn Alex vidal n no.2 haswaa...Ile injury imeniuma sana kama imetokea mimi nahisi , najaribu kuvaa viatu vyake daaah kama ulikua unanifuatilia kwenye post zangu since last month ameanza kuchezeshwa nilikua namfagilia kushinda hata anapocheza S Roberto !!hata jana goal moja ni assist yake ,yaani kuna kitu tumekipoteza technically , especially kwenye kushambulia kutokea upande wa kulia pamoja na cross balls zako hatari za right wing ,Sergio yeye anakua mgumu kidogo kupanda au anapanda at wrong time na kutu cost
dah. hii ni habari mbaya sana. jamaa ndiyo alikuwa kaanza kuusoma mchezo halafu anaumia!.Ile injury imeniuma sana kama imetokea mimi nahisi , najaribu kuvaa viatu vyake daaah kama ulikua unanifuatilia kwenye post zangu since last month ameanza kuchezeshwa nilikua namfagilia kushinda hata anapocheza S Roberto !!hata jana goal moja ni assist yake ,yaani kuna kitu tumekipoteza technically , especially kwenye kushambulia kutokea upande wa kulia pamoja na cross balls zako hatari za right wing ,Sergio yeye anakua mgumu kidogo kupanda au anapanda at wrong time na kutu cost
Nilikua naanza kuiona copy ya Dan Alves mkuu he is so aggressive kwenye ku attack na magoli yake tumeyaona hata jana ametoa assist ya goal la kwanzadah. hii ni habari mbaya sana. jamaa ndiyo alikuwa kaanza kuusoma mchezo halafu anaumia!.
Roberto alilazimika kucheza ile namba kwasabu hakukuwa na mbadalaMkuu s.roberty n holding mild field typically...cjui kwa nn jamaa aliamua kumchezesha right fullback.. Yuko very slow...lakn Alex vidal n no.2 haswaa...