FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Roberto alilazimika kucheza ile namba kwasabu hakukuwa na mbadala
Mkuu mbadala ulikuwepo ila kocha hakumuamn Alex vidal mapema...mm bado namulaum kwa kumtumia s.roberty tumepoteza bonge la mild field...
 
Luis Suarez ameifikia na kuivunja record ya Luis Endriqe ya magoli 109.

Wakati huo huo Neymar nae kafikia record ya Gaucho ya mabao 96. Wote wamefikia record hizi baada ya jana wote kufunga walipocheza dhidi ya Alaves.
 
Alex vidal ni mzuri sana lkn mwanzoni alikuwa hajacop mchezo wa barca nimegundua kuna kitu kizuri kipo kwenye usajili wa Luis enrique lakini tatizo ni kwamba hawapi nafasi ya kutosha
 
Mkuu mbadala ulikuwepo ila kocha hakumuamn Alex vidal mapema...mm bado namulaum kwa kumtumia s.roberty tumepoteza bonge la mild field...
Hapana usimulaum, imigine saizi s. Roberto angekuwa hiyo nafasi hajaimudu halafu Vidal ameumia, ingekuaje?
 
Alex vidal ni mzuri sana lkn mwanzoni alikuwa hajacop mchezo wa barca nimegundua kuna kitu kizuri kipo kwenye usajili wa Luis enrique lakini tatizo ni kwamba hawapi nafasi ya kutosha
Nasikia Vidali alikuwa hajitumi mazoezini hadi Lucho alimmind. inawezekana alianza kujituma. Gomes naye mechi za mwishoni naona alijitahidi sana. vipi jana aliperform fresh? huyu hawezi singizia kuwa hapati nafasi.
 
Reactions: PNC
Mkuu mbadala ulikuwepo ila kocha hakumuamn Alex vidal mapema...mm bado namulaum kwa kumtumia s.roberty tumepoteza bonge la mild field...
kipindi yupo Alves na yeye akipiga MF alikuwa anapiga mpira mwingi sana. kwakweli pale tunapoteza mildfilder wa kiwango cha juu sana.
 
Reactions: PNC
kipindi yupo Alves na yeye akipiga MF alikuwa anapiga mpira mwingi sana. kwakweli pale tunapoteza mildfilder wa kiwango cha juu sana.
Unaona...hata Ile game ya El classico dogo alikichafua Ile mbaya...pamoja na umr kuwa mdogo na uztto wa mech lakn dogo dimba alilikamata vizur. Sana...n bora angemubakiza batra..
 
Mkuu mm nadhani ni rahisi kupata midfielder kwa Barca kuliko fullback
Si kwel..
Umeiona jins tulivyotumia pesa nying kwa Gomez, na Denis Suarez....? Angekuwepo Thiago Alicante, na roberty ingekua n generation nzur sana... Sasa one touch ya s.roberty kaiua kabsa...
 
Mild field kwa sasa hatuna..tulizoea kuzitoa la masia.... Tatzo na Enrique n kununua wachezaji kwa gharama kubwa sana wakat tuna la masia...Alex vidal, Gomez, Denis Suarez, Palacios na Mathew...Zaid haangalii umri...
 
Mkuu urahisi sio pesa tu, na maanisha kuwa midfielder wako wengi sana hata kutoka barca B, lakini hao ma fullback ningumu kidogo
I stand to be corrected
 
Reactions: PNC
Unakumbuka Kuna ugomv ulitokea baina ya kocha na Rais juu ya varmalin...? Tulipata kimeo, Mathew nae kimeo na umr wao umeanda sana tena tuliwachukua kwa pesa nying sana....team yetu tangu tuanze best team kuzalisha vipaj tulisahau kununua wachezaji kwa pesa ming...I think n mda wa Enrique kutuachia team ambayo generation itachukua mda ku settle pale Kat kama guardiola alivyotubeba kwa Xav, Iniesta na busquet
 
Reactions: PNC
Mild field kwa sasa hatuna..tulizoea kuzitoa la masia.... Tatzo na Enrique n kununua wachezaji kwa gharama kubwa sana wakat tuna la masia...Alex vidal, Gomez, Denis Suarez, Palacios na Mathew...Zaid haangalii umri...
Uko sahihi
 
Reactions: PNC
Uko sahihi
Mkuu kiukwel mm niliumia sana kwa Alcantara kuondoka tena kipind hicho xavi alikua mwishon kabsa....ckuelewa kwa nn barca tulimruhusu...hiv Sasa Iniesta umr tayar lakn angekuwepo Thiago naamn angekua ameshakua mjuz kwa sababu ya kucheza chin ya uangaliz wa middle bora kabsa...Iniesta na xavi...hii mistake kwa nn tuliifanya
 
Nikweli ilikuwa mistake, na kwamiaka ya karibuni kupata midfikder wazuri tusahau maana mpaka waandaliwe Lamasia
 
Reactions: PNC
Leo ni leo ni usiku mwingine wa jinamizi kwa PSG ni usiku wa furaha kwa FC BARCELONA na mashabiki wake duniani kote na ni usiku utakaofanywa uwe mwanana kwa safu ya MSN watakapousambaratisha mnara wa Ufaransa

Viva Barcelona
Tukutane saa 4:45usiku E.A.T

Kumbuka ukichelewa kuitizama mechi hii walau kwa dakika kumi
utamkuta Mnyaaamaa (japo sio T.I.D) KING MESSI kashaingia nyavuni mara 2 au kashatoa pande la mwisho lililowazamisha PSG
 
At least Barca watutoe stress ya nyumbani-"witch hunt" inayoendelea Bongo is not good for our health. MSN please tusaulisheni machungu ya nyumbani
 
Reactions: PNC
At least Barca watutoe stress ya nyumbani-"witch hunt" inayoendelea Bongo is not good for our health. MSN please tusaulisheni machungu ya nyumbani
Mkuu vp tena na ww umekua manji...au muuza ngada...? Barca must win this game...nackia Thiago silver leo hayupo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…