Hapana I don't deal in those stuff,but ukishakaa duniani unajua nini maana ya "Rule of Law". Motherland inani disappoint,all in all the mighty Barca will make amendsMkuu vp tena na ww umekua manji...au muuza ngada...? Barca must win this game...nackia Thiago silver leo hayupo...!
Magazeti ya Catalunya hayaongelei mchezaji yoyote zaidi ya MSN-hawa akina Umtiti na defence yote hawatajwi kabisa-to them mpira unachezwa mbele tuNamkubal sana umtiti... Yaan huyu dogo anatisha
Huyu yuko vzr sanaOkay...Katka bek zote alizosajil Enrique kwa umtiti amefanikiwa kwa kias kikubwa...dogo anakaba kwa hakil sana
Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
Angalia crictv free kama sikosei babumwenye straming link jamani
Mechi kama hii unaangalia kwa streaming!? Na zile scratch utaonaje tick tacka za wakatalunya!?mwenye straming link jamani