FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Huyu kipa naye duhh!!! Sijui tuwaazime DDG wetu[emoji85] ila hope linarudi soon.
 
Leo Barca haijatulia kabisa mabadiliko yanahitajika haraka sana la sivyo tutachezea mbayaa.....mhhh!!mi nashindwa kuvumilia kwaherni mtanihadithia kesho
 
Daaah wanataka kutuharibia shughuli sio.. kipindi cha pili we have to five all what we have tupige hata draw tukawamalize camp nou
 
Ukuta wetu unaruhusu sana penetrating pass why? kuanzia kulia na sasa hivi ugonjwa umehamia upande wa kulia
Katikati tumepwaya sana hadi Messi inambidi akachukulie mipira nyuma kabisa...!!
 
kitu cha kwanza tupate goli 1 japo naiona PSG ikichakazwa vibaya kipindi cha pili

ila hii Barcelona ya leo ipo kama ya Kichina kiuhalisia kipindi cha kwanza tumefanya vibaya saaaaana
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hapo Andre Gomez itabidi atoke, aingie Rakitic.....Rabbiot, Matuidi na Verrati wamekamata katikati alafu wanakaba sana alafu kwetu Yupo Sergio Busquet anaekaba, Iniesta wala Gomez hawakabi.....!!
 
kitu cha kwanza tupate goli 1 japo naiona PSG ikichakazwa vibaya kipindi cha pili

ila hii Barcelona ya leo ipo kama ya Kichina kiuhalisia kipindi cha kwanza tumefanya vibaya saaaaana
Tuliaaaa tuliaaaaaa
Babaaaa wembeeeee

Unapitaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…