Wapi nimeandika "mpira umeisha"Game dk 90 bado sana we have all assets we can make wonders
Aah kumbe...Game dk 90 bado sana we have all assets we can make wonders
Usikimbie kamati ya ufundi wanakuhitajiLeo Barca haijatulia kabisa mabadiliko yanahitajika haraka sana la sivyo tutachezea mbayaa.....mhhh!!mi nashindwa kuvumilia kwaherni mtanihadithia kesho
Barca is a big teamAah kumbe...
Ngoja tusubirie hizo wonders!!
winger ya kulia imekufa na wamejua ndiyo maana nguvu zote zipo kwa neymar kule. wanajua goli litatoka huko. angetoka Gomes aingie ivan au dennis au alcantara. mi nilijua kawekwa amsaidie sergio kiulinzi lakini naona wote wanacheza kibob marley.Neyma is very good leo aosee nmependa what is doing front
mascherano aliumia.Our midfield is overwhelmed kuna haja yakumuingiza Macherano na Ivan Rakitic
Mascherano kaumia Mkuu.Our midfield is overwhelmed kuna haja yakumuingiza Macherano na Ivan Rakitic