FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yaani timu inacheza cheza tu hata haielweki, sio messi, sio suarez, sio busquets yaani hakuna anaekaa na mpira mguuni na hata akitoa pasi hajui anatoa wapi na kwa nani...

Kweli hii ni siku ya kufa nyani
 
kocha amekua kama Mourinho kipindi kile chelsea hana first eleven hadi leo Enrique this season sasa unaliingiza lile Robot Andres Gomes na kumuacha Rakitic halafu tunaruhusu adui awe na mpira na kuruhusu mipira ya kupenya mingi kweli?huyu S Roberto hadi leo kwanini uwe na imani nae wakati umemjaribia sana hii namba haiwezi kuicheza hii ni sawa?tumefungwa kwa sababu za kiufundi yaani ni kocha
 
we need team transformation lucho tunakupenda sana lakini naona tunaelekea tamati ,team tangu msimu umeanza haina harmony ya ku press mipira iinstead individual talents ndio zinatumika kuna haja ya Pap arudin aje astaafie pale
 
Ila mkuu si Rakitic aliingia na magoli yake mawili Barca leo wamezidiwa na ile chance aliyopoteza yule dogo anacheza namba mbili si bora Alves angepewa tu mkataba mwingine
 




pumbafu yule lucho kang'ang'ania chezaji bovu lile gomes halafu analipenda kama anamkazia mkewe
 
Me ni Barca damu kwahiyo nikifungwa roho inauma sana ,tena tunafungwa match ambayo uwezo tunao sema kocha ndio anazingua Bercelona hawana pace na aggressiveness ambayo tunaijua ile touch yetu Lucho unaipoteza inatu cost sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…