FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ikiwa ndani ya dk 40 ARSE10 amepigwa 5

JE PSG dakika 90 atakula ngap??[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

ASANTENI KWA KUJA

BONJOUR MWISHO PARIS
Mkuu I wish iwe hvyo
 
Reactions: PNC
Jiji la Barcelona leo ni joto sana- ni football ndio ina dominate-je will Barca win and go through or win and be chucked out? Book makers have been cautious with odds, fearing one of the greatest comeback in footballing history is about to unfold. All in all with fingers crossed we wish IN this hour of need,Barca live up to the billing and make us once again as usual, proud to be Barca fans
 
Barca ya mwaka 2009 haipo tena endelea kujifariji naona yanakuja kuwatokea kama ya Arsenal na mjue kocha wa PSG kafundisha Sevilla anaifahamu sana Campnou atakuja kuwashambulia hapo hadi mtajiona Hamna maana
 
Barca ya mwaka 2009 haipo tena endelea kujifariji naona yanakuja kuwatokea kama ya Arsenal na mjue kocha wa PSG kafundisha Sevilla anaifahamu sana Campnou atakuja kuwashambulia hapo hadi mtajiona Hamna maana
Come on boy hajawahi kuifunga Barcelona tangu yupo PSG acha kujifariji leo PSG wakatembea na msuli goal watakazopigwa
 
mashabiki wa barca bhn mechi ikiisha mtakuwa hapa hapa mnamtukana Lucho
 
Barca kila la heri ila sioni mkienda mbele ...tunashkuru kwa kushiriki michuano hii tuachieni wanaume madrid
 
Hodi humu??
Maandalizi ya maziko yanaendeleaje wadau WA nyumba hii??

Poleni kwa msiba jamani!

I hope mtazika hapa hapa? Nitakuja kuweka chepe hata mbili hivi baaadaye!

Rambirambi Sina faru John amezingua!
 
Reactions: PNC
tupo mkuu tunasubiri kuweka historia. ila nahisi ili tupate magoli mengi tunahitaji 4 pale kati japo tutarisk kufungwa. kukosa goli la ugenini kumetuweka pabaya sana.
We acha tu navuja jasho hapa natamani Camp Nou kungekua mkuranga niende kwa miguu nikacheze mwenyewe
Nina hasira na hawa PSG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…