[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aki ya Mungu mechi ya leo ni ndefuuu sjawahi ona.
Dakka 45 kama 60 vile
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375]Aki ya Mungu mechi ya leo ni ndefuuu sjawahi ona.
Dakka 45 kama 60 vile
Chuki itakuua mkuubarca sijui kwanini ni lazima wabebwebebwe na marefa...penati ya wazi psg wamenyimwa
Tunaponda kanyaga kabisa 2nd half hawajiweziAki ya Mungu mechi ya leo ni ndefuuu sjawahi ona.
Dakka 45 kama 60 vile
Tunaponda kanyaga kabisa 2nd half hawajiwezi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji375] [emoji375] [emoji375] [emoji375]
Ndio zimewatosha, PSG tulitaka msitoke kama Arsenal tuu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaa we we kama Ramos tuNdio zimewatosha, PSG tulitaka msitoke kama Arsenal tuu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] una roho ngumuNdio zimewatosha, PSG tulitaka msitoke kama Arsenal tuu.
usitukane kwanza kabla ya dakika 90Yan kama psg watatolewa
Mm ntakula ban la
Mwaka jf leo
Maaana co kwa matus ntakayowatukana
Hakiamungu
AseeeHongereni kwa kuongoza bao mbili kiukweli jamaa wanawapa nafasi sana ya kuwashambulia ingawa mlima bado mrefu kuupanda.
pamoja mkuu.Tunaponda kanyaga kabisa 2nd half hawajiwezi
Hapana nasubir dk 90usitukane kwanza kabla ya dakika 90
Yaah goli la pili ni mzaha huo limekuwa laini sana.Aseee
Hawa watakuwa PSG rapper haiwezekan wana cheza hovyo hivi.
Na goli la mapema lime waua