FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Formation za mpira nashindwa kuelewa,mbona formation tuliyomgaragaza PSG,ndio tuliotumia kwa Valencia lakini hawa Valencia walikuwa wanatukosa kosa sana AU Valencia ni timu kali kuliko PSG
 
Formation za mpira nashindwa kuelewa,mbona formation tuliyomgaragaza PSG,ndio tuliotumia kwa Valencia lakini hawa Valencia walikuwa wanatukosa kosa sana AU Valencia ni timu kali kuliko PSG
Discipline na tension ya mchezo na wachezaji ndio factor kubwa kama unakumbuka nilikuambia match za ushindi (decisive game) barcelona wanabadilika sana na kuwa mbogo kwakua ni motivation tosha
Back to game ya juzi goli la kwanza ni uzembe tu (personal mistakes za mabeki)
Na mwisho kabisa formation ni moja ila design ya uchezaji wa juzi na siku ya Raymond tada ni tofauti kama ulichunguza kwa umakini siku ya PSG midfield ziliteseka sana walikuwa wanakabia juu na hata fowards wakinyang'anywa mpira walikua wanakabia juu pia hii ilitengeneza net ambayo PSG iliwalazimu wasikae na mpira na mpira uchezwe nusu uwanja .Do u get my point?
 
Barcelona,Hispania.
UNAUKUMBUKA ule ushindi wa kihistoria wa mabao 6-1 iliyoipata Barcelona hivi karibuni dhidi ya Paris Saint-Germain kwenye hatua ya 16 bora ya michuano ya klabu bingwa barani Ulaya dimbani Camp Nou.
Basi ushindi huo umeanza kuitokea puani klabu hiyo baada ya jana Alhamisi kulimwa faini ya €19,000 sawa na Tsh43,700,000 za Tanzania na shirikisho la vyama vya soka barani Ulaya (UEFA).
Barcelona imeliwa faini hiyo baada ya kubainika kuwa ilifanya makosa mawili ya utovu wa nidhamu kwenye mchezo huo.
Kosa la kwanza lilikuwa ni wachezaji na mashabiki wake kuvamia uwanja na kuanza kushangilia ushindi hata kabla mchezo haujaisha.Kosa la pili limetokana na wachezaji watano wa Barcelona kuonyeshwa kadi za njano katika mchezo huo.Kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni utovu mkubwa wa nidhamu kwenye mchezo mmoja.
 
Hiyo ni hela ya chai tu ,furaha namna ile utashindwa kuingia uwanjani?
 
Kama kawaida mzee tuna enjoy international break
 
MESSI KAFUNGIWA MECHI 4 ARGENTINA KWA KUMTUKANA REFA MECHI NA CHILE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…