Sikuangalia aisee mkuu ila nmeona tu highlights nmekasirishwa sana na kitendo walichofanya FIFA wako so biased
golil la pili Busketi alitoa pasi kali kwenda kwa Alba ambaye alimtengea Deulofeu. ishu ya King sijaipata kiundani, kuna matumaini kwenye rufaa?Sikuangalia aisee mkuu ila nmeona tu highlights nmekasirishwa sana na kitendo walichofanya FIFA wako so biased
It seems like wanamuwindagolil la pili Busketi alitoa pasi kali kwenda kwa Alba ambaye alimtengea Deulofeu. ishu ya King sijaipata kiundani, kuna matumaini kwenye rufaa?
Mbona povu hivyo kwani Argentina ikiwa na Mess wamecheza mashindano mangapi ya world cup na Copper America na je amebeba makombe mangapi ya mashindano hayo?Hizo ni njama from fifa, na walichokua wanakitaka kutoka kwa king messi tayari wamefanikisha, so Argentina imefungwa na Bolivia mechi ya jana na kurudi nafasi yao ya tano....ndicho fifa walichokua wanakitaka na wamefaulu.
leo hakuna wasiwasi kupata point toka Granada. ila asije akaanzisha kikosi cha kina Gomes kibao kikatugeukia. inabidi kila mechi tucheze kama fainali.LEO BARCELONA TUPO UWANJANI tunajitaji point 3
hakika .mkuu na itakuwa vema kama madrid akisuluhu au kupoteza japo mechi moja ili tukikutana nae el clasico tummalize kabisaleo hakuna wasiwasi kupata point toka Granada. ila asije akaanzisha kikosi cha kina Gomes kibao kikatugeukia. inabidi kila mechi tucheze kama fainali.
Argentina sijajua kama tatzo linaweza kuwa kocha mimi nahisi ni uongozi na Sevila katoka kusuluSociedad na Sevilla zimepoteana. nasikia Sampaoli anazungumza na Argentinaa.
bado tuko fresh, nimependa Gomes kucheza kushoto. akiwa kule na Roberto tunakuwaga na hali ngumu.LEO KING HATOCHEZA
inabidi tukaze sana
Sababu nini?LEO KING HATOCHEZA
inabidi tukaze sana
Suspension. ...ana 5 yellow cardSababu nini?
Ohhoo kumbe nilisahauSuspension. ...ana 5 yellow card