Tukutane jumapiliHa ha unajifariji brother
Nitakutafuta jumapili ,najua unachofanya ni uoga unazijua nguvu za Barca inapohitaji ushindiTukutane jumapili
Povuuuuuu,umenyolewa tuliaaaa mkuu na bado jpili lazima mumtimue kocha kabla ya msimu kuishaaaaaStory za vijiweni hizi ,hivi nikuulize UEFA top scorer mwaka huu ni nani?top scorer laliga ni nani?au standard za wapi unatumia?
Halafu utapoamini watu no wanafiki kiwango cha lami hata enzi wanazozisema ni za Barca still hawakuikubali
Messi ni best striker wa spain kwa mwaka wa 8 mfululizo is that competition or dominance?think twice usifuate mkumbo wa vilaza brother use facts
Barcelona ni team ambayo inafanya conservation hatuna mambo ya kihuni kama ya Bernabeu nikuulize swali rahisi Iker Cassilas alivyotimuliwa ataizungumziaje Madrid ukimlinganisha na Xavi atapoizungumzia Barca?Povuuuuuu,umenyolewa tuliaaaa mkuu na bado jpili lazima mumtimue kocha kabla ya msimu kuishaaaaa
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Timu zote zilzobak twaweza shabikia kasoro ile timu mbelekoView attachment 498920
MAJESHI YANAHAMIA SANTIAGO KAZI MNAYO[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
ki ukweli hiyo mechi refa aliwaonea Bayern, simple and clear
though sioni kama ndio tusha kuwa team refaz
Messi yupo yupo tuu yaan, najia watakwambia aanaongoza magoli, sasa hayo magoli ambayo anafunga na haya isaidii timu ya nn si bora akae nayo!!!Enzi ya barca imeshapita messi sahv ni bingwa wa kuweka rangi nywele kuliko kucheza mpira
nyie ili mtufunge labda tuchezeshe Madrid C, ila hata droo mwaeza ambuliaMAJESHI YANAHAMIA SANTIAGO KAZI MNAYO
wαtααlαm wa soka wαmєѕєmα "R.MADRID KUMFUNGA BARCELONA NI SAWA"nyie ili mtufunge labda tuchezeshe Madrid C, ila hata droo mwaeza ambulia
Yaani wewe bora ukae huko huko kivuMessi yupo yupo tuu yaan, najia watakwambia aanaongoza magoli, sasa hayo magoli ambayo anafunga na haya isaidii timu ya nn si bora akae nayo!!!
zaman Messi kwenye mechi kama za juve ndio alikiwa ana ng'ara ana wabeba barca akisaidiana na ma refa, sku hizi mara atukane waamuzi, yaan fujo tupu, halaf timu lake hata haliend popote lipo lipo tu.
Barcelona kumfunga madrid je!!? [emoji28]wαtααlαm wa soka wαmєѕєmα "R.MADRID KUMFUNGA BARCELONA NI SAWA"
1. вαѕhítє kuσnчєѕhα vчєtí
2. Hαmσrαpα kuѕhíndα tuzσ чα MTV base
3. Mαgufulí kuhαmíα Chαdєmα
4. Gwαjímα kunчαngαnчwα uchungαjí nα kupєwα hαmσrαpα
5. αrѕєnαl kuchukuα UEFA [emoji23][emoji23][emoji12]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Yaani wewe bora ukae huko huko kivu
hapa jirani nakubaliana na wewe, kwenu nyie timu ni kama kabila, mnashinda pamoja mnashindwa pamoja, kwetu siye timi ni kama kampuni tunakulipa you have to perform, though kitendo cha kuwazomeaga ma legend huwa kina niuma.Barcelona ni team ambayo inafanya conservation hatuna mambo ya kihuni kama ya Bernabeu nikuulize swali rahisi Iker Cassilas alivyotimuliwa ataizungumziaje Madrid ukimlinganisha na Xavi atapoizungumzia Barca?
Jibu unalo Messi hajawahi kuzomewa na washabiki wa Barca na haitawahi lakini uliza CR7 amezomewa mara ngapi pale Bernabeu ,jibu unalo Madrid ni team ya kibepari
Wanachoangalia wao ni "means to an end "
Ilianza enzi za Raul Gonzalenzi mtu ambaye alijitoa hadi jina la pili akabatizwa kama Raul Madrid ndio maana mkapata laana ya miaka 10 bila kuchukua UEFAhapa jirani nakubaliana na wewe, kwenu nyie timu ni kama kabila, mnashinda pamoja mnashindwa pamoja, kwetu siye timi ni kama kampuni tunakulipa you have to perform, though kitendo cha kuwazomeaga ma legend huwa kina niuma.
ila alikuwa ana zomewa Raul, sjui kama kuna kiumbe hawez zomewa na madridistas
ki ukweli, uwa sifurahii hiyo kituIlianza enzi za Raul Gonzalenzi mtu ambaye alijitoa hadi jina la pili akabatizwa kama Raul Madrid ndio maana mkapata laana ya miaka 10 bila kuchukua UEFA
Ukizingua ni kukuzomea tu hakuna kulemba mkuu....Barcelona ni team ambayo inafanya conservation hatuna mambo ya kihuni kama ya Bernabeu nikuulize swali rahisi Iker Cassilas alivyotimuliwa ataizungumziaje Madrid ukimlinganisha na Xavi atapoizungumzia Barca?
Jibu unalo Messi hajawahi kuzomewa na washabiki wa Barca na haitawahi lakini uliza CR7 amezomewa mara ngapi pale Bernabeu ,jibu unalo Madrid ni team ya kibepari
Wanachoangalia wao ni "means to an end "
Bonge la uswahiliUkizingua ni kukuzomea tu hakuna kulemba mkuu....
Jamani iache barca yanguMessi yupo yupo tuu yaan, najia watakwambia aanaongoza magoli, sasa hayo magoli ambayo anafunga na haya isaidii timu ya nn si bora akae nayo!!!
zaman Messi kwenye mechi kama za juve ndio alikiwa ana ng'ara ana wabeba barca akisaidiana na ma refa, sku hizi mara atukane waamuzi, yaan fujo tupu, halaf timu lake hata haliend popote lipo lipo tu.
daaah!!Jamani iache barca yangu
mmefanya figisu hadi Neymar hatacheza. kwetu siyo kesi, jpili tunaweza kuwawekea Paco na kuwapiga 3-0.Story za vijiweni hizi ,hivi nikuulize UEFA top scorer mwaka huu ni nani?top scorer laliga ni nani?au standard za wapi unatumia?
Halafu utapoamini watu no wanafiki kiwango cha lami hata enzi wanazozisema ni za Barca still hawakuikubali
Messi ni best striker wa spain kwa mwaka wa 8 mfululizo is that competition or dominance?think twice usifuate mkumbo wa vilaza brother use facts