Mkuu walikupiga ban niniKing Messi weka mbali na watoto
Ndio mkuu tena kosa langu kusema Messssssii hakika moderator wana chuki na BarcelonaMkuu walikupiga ban nini
Umemuona S Roberto alivyokimbia?MSN washafanya yao
Suareeeeez kaweka cha 3
Mkuu huyu dogo balaa hata marcelo anamjua vyema [emoji23] [emoji23] Kwa la masia huyu dogo kaiwakilisha vemaUmemuona S Roberto alivyokimbia?
Mpira ulikuwa umeshakufa ule. True talent!Duh Neymar!