FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Anamagoli mangapi msimu huu mpaka awe mfungaji bora?
Halafu mleta picha haja mlinganiaha messi na Ronaldo wako!!!
 
Anamagoli mangapi msimu huu mpaka awe mfungaji bora?
Halafu mleta picha haja mlinganiaha messi na Ronaldo wako!!!

SSawa mkuu...sikatai kwenye LaLiga this tyme LEO10 Anachukua kiatu cha mfungaji bora...but I wonder that LEO10 anajua wazi EUROPEAN GOLDEN BOOT kwenye UEFA kitachukuliwa na nani...So far kiatu kipi kina thamani mkuu???...kati ya Kile cha Laliga na UEFA.
 
Yaani mashabiki wa mpira nikama akiri tunajitoaga sometimes, hivi unategemea kila msimu awe vzr?
 
Anamagoli mangapi msimu huu mpaka awe mfungaji bora?
Halafu mleta picha haja mlinganiaha messi na Ronaldo wako!!!
jirani msifie bwana, jamaa kaleta bonge ya facts, sasa unabisha hadi facts
 
we ni muongeaji Pumba mzuri sema tu una mapenzi na Ronaldo Bhana ni ujinga Kumfananisha Messi na Ronaldo watu washssema Magician Messiah
 
we ni muongeaji Pumba mzuri sema tu una mapenzi na Ronaldo Bhana ni ujinga Kumfananisha Messi na Ronaldo watu washssema Magician Messiah

Hahaha!...mkuu comment yako imenikumbusha kuna mtandao mmoja nilitembelea nikakuta SHABIKI MMOJA WA BARCA Analalamika anasema LEO10 ni bora kuliko CR7...Na akaendelea kusema "CR7 Hagusi moto Wa LEO10 Lakini Tatizo CR7 Anajifichia kwenye GOALS and TROPHIES"...Binafsi namkubali sana LA PULGA Na kiukweli Mchezaji mwenye DRIBBLE anavutia kumwangalia uwanjani kuliko Mwenye PACE MOVEMENTS...kwa kuwa Mchezaji mwenye dribble huwa anavuruga defence na ukiona Beki ameuchukua mpira miguuni mwake Mara nyingi ujue amemchezea rafu...na mwenye Pace huwaga anafanya mashambulizi ya ghafla kwenye goli la adui na huyu huwa hakai sana na mipira kulinganisha na yule mwenye dribble...AFTERALL Tuzo ya mchezaji bora Wa dunia(Ballon D'or) haitolewi kwa kuàngalia aina ya uchezaji Wa wachezaji husika pindi wawapo uwanjani Bali mafanikio yake katika msimu kwa kuangalia kwenye national team na makombe ambayo mchezaji ameiletea club yake katika msimu husika then vigezo vingine kama RECORDS WALIZOVUNJA NA MPYA WALIZOJIWEKEA,IDADI YA HAT-TRICKS...GOALS na ASSIST hujazia uzito Tu kwenye kuwania tuzo hiyo...sasa unakuta mtu amechukua eti kombe moja tena dogo sio ata la ligi...labda uku mwengine amebeba uefa na kombe la ligi...then mchezaji bora awe Huyo Wa kwanza, No!No!No!...Haiwezekan alafu unakuta mashabiki wake eti wanalalama kuwa alistahili ukiuliza anavigezo gani msimu Huu kumzidi mwenzie Utaambiwa Ooh!.."Messi hatari anachukuaga vijiji Vya mabeki uwanjani" Mara "Jamaa nomaa anafinyaga hadi makipa yule"...Sasa kwa mtizamo Wa kawaida hivyo vinaweza kuwa vigezo Vya kumzuia mpizani wake kwenye tuzo kama hiyo?...Nyinyi jamaa bhana Mtaishia kuita majina kibao nini Messiah ata Messinho...pasipo na effect yoyote!!!




Na msimu huu akifanikiwa kubeba UEFA Champions League na LaLiga then Akipata na Golden-Boot kama mfungaji bora Wa UEFA(Ombeni hili lisitokee)...mjue kabisa Ballon D'or ya tano itamuhusu tena kijana huyu...The bronze man!



CR7 Huinua makombe huku LEO10 Huinua JEZI(Always the Difference)...Na akifanya masihara msimu huu atainua hadi jezi ya mwenzie...So Sad!!!



Msimfiche...mwambieni Magician Messiah kuwa CR7 Sio level yake...maana CR7 is Simply A GOAL-SCORING MACHINE TESTED TO THE LIMIT...

-------____------____-------____-------____-------____-------____-------____-------

Mwisho wa siku...hizi ni facts na mitazamo yetu tu mashabiki lakini jamaa hawana uadui Bali ni ushindani katika Football Industry...na kiukweli wameiteka game ni kwa takribani miaka 10 sasa...they're going HEAD2HEAD...kuna mtandao mmoja niliupitia huko UK wanadai hii DUO imeshikilia nusu ya mashabiki wote Wa soka duniani...hatari!!!



Lile swali la nani ni bora kati yako...Daima litabaki kwa mashabiki Wa soka wenyewe...



----------------------------------------- The END ------------------------------------------
 
Tuzo ya mwanasoka bora itaenda kwa Buffon au Messi , hutaki acha
 
Tuzo ya mwanasoka bora itaenda kwa Buffon au Messi , hutaki acha

Mkuu unaota wewe BALLON D'or iende kwa kipa...mbele ya uwepo Wa hawa watu Wawili,NoNoNo!...hilo haliwezekani Daima,ndio tunajua Msimu huu UEFA Bwana Buffon kimantiki ameruhusu magoli machache sana kuipita mikono yake kuliko kipa yoyote yule lakini hii inafahamika ni kwa ule ukuta wao pia umemsaidia lakini bado hawezi beba hiyo kitu...trust me!!!,Mara mia ungesema atashiriki top-3(na hili nalo pia gumu maana kuna midfielders wazuri wamepelekea mchango Wa magoli mengi sana kwenye timu zao ikiwemo ligi na UEFA na kuingia top-3 ni shughuli ndo iwe yeye mkaa golini Tu).
 
Wakuu Coutinho tunakaribia kuinasa saini nafasi yake na good news King Messi very soon atasaini mkataba mpya utakaokomea 2022
 
Msiwe na wasiwasi, Juventus hawawezi kuwadhalilisha kiasi kile halafu tukakaa tu kama hatujui kinachoendelea. Real Madrid imeamua kulipa kisasi kwa ajili ya Barcelona kama ilivyofanya misimu mitatu iliyopita kwa Atletico
 
Hakika kijana wangu una Mapenzi yaDhati na CR7 kweli kama unaona CR7 ni bora kuliko LEO10 basi una mahaba naye kwa 7b kila mpenda soka na anayelijua soka anajua Moto wa Messi na Msimu Huu messi atakuwa mfungaji bora Ulaya Nzima......Uefa....La liga sasaa sijui uyo Mviziaji wako atashnda nn na usiseme kwamba trophies kila wakati inaamua mshindi maana ata misimu ya apo juzi chelsea na Bayern walishnda uefa lakini Ballon dor Haikuenda kwao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…