FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread


Uzuri wa washabiki wa Ze Gunnaz KASORO wewe ni mabingwa wa Kukimbia Jukwaa, all in all FATE will tell!,mnadhani Arsenal ni Manutd?

Nevertheless nimebakiza mechi moja ya kesho dhidi ya Liverpool kuwa na shabiki wa muda wa Ze Gunnaz, after that hamna lenu!
 

Mkuu kumbe bado washabiki wa ganaz mpo? Ila wee una roho ngumu kama Wenga. Yaani bunduki zisizo na risasi zichukue kombe? Hata Wenga haamini hayo! Yaani mnakusanya nguvu mwaka mzima ili muwafunge vigogo?
Kuna mnazi mwenzenu anaitwa KKN, yeye kashtuka siku nyiingi, kajinyamazia kimyaa.
 
It's funny jinsi ulivyo orodhesha timu zote tatu, kasoro Liverpool. Hivi mnataka Liverpool ifanye nini season hii ili ipewe heshima yake?

Btw, mimi ni Liverpool for life...ha ha haaaaa

Mkuu Bwawa la maini ni fighters, I don count them out had May.
 
ahsante, haya input yako kwenye hii draw vipi, au ndio bado una mshangao?

Duh...naona mumenigandama kama gundi..wewe,Roya Roy,Manda na Idimi.

My thing ni kwamba bado siku kibao and anything can happen
from injuries to suspensions.naona mumesha tu-write off for
whatever reasons lakini mimi bado uzalendo ninao tu!

Viva Ze Bluzz!!!
 

Kinacho tuuma ni vile tutakosa 'kampani' lako na la 'wenzako', cant wait to attend your 'burrial'..
 
Kinacho tuuma ni vile tutakosa 'kampani' lako na la 'wenzako', cant wait to attend your 'burrial'..

Dont be suprised when that iishh is flipped and I be the one
attending 'your burial'...afu mko wengi nyie wahuni!!!!..LOL!🙂
 
I can honestly say the same thing......tumefanyia mlichowafanyia hao vibonde wawili. Tena sisi tulikuwa wa kwanza. Yaani sisi tulipata nyama fresh kabisa, nyinyi mkamalizia makombo yetu....lol

Tusubiri hiyo jumapili....

Ndio maana kocha wenu aliongea ule upuuzi siku chache zilizopita, ila sishangai kipindi hiki liverpool wanamuwa mdebwedo nina uhakika come February na march Madrid anawapa kichapo na uchezaji wenu wa kumtegemea refa.
 
Nimetengeneza hii kitu, Ab-Tichaz anakumbuka ile ya mwaka jana(final)

[media]http://www.youtube.com/watch?v=OtITQ_aCjSY[/media]
 
Nimetengeneza hii kitu, Ab-Tichaz anakumbuka ile ya mwaka jana(final)

[media]http://www.youtube.com/watch?v=OtITQ_aCjSY[/media]

Duh....hahaha mtani wangu, kumbe unasuka nyengine sio?
Itabidi nijifiche na hizi video zenu maana ni nuksi tupu...🙂!
 
Who will win
 

Attachments

  • 112022[1].jpg
    18.8 KB · Views: 104
Mbona kimya
Leo ndio kuna draw ya robo fainali
 
Villareal Vs Arsenal!
weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Man U Vs FC Porto!
mnnnnnnnnnnnnnnnh!!!!!!!!! 🙁
 
Liverpool Vs CHELSEA
HA HA A AAAAAAA!!!!! 😀
 
BARCELONA Vs BAYERN MUNICH!

Exciting!!!!
 
Tusubiri tuone ratiba ya nusu fainali itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…