FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hongera sana Madrid Los Brancos ,tumeziona hila zenu maana ndio mbinu ambazo mlibakia nazo sio haba ndani ya miaka mi 5 mme hustle
 
Reactions: PNC
Tukianza hizo nyie ndiyo balaa. Juzi verane kashika kwenye box, aspas kala umeme wa ajabu. Huku leo mkipata goli la offside. Hata hivyo hongera mkuu kwa kukataa usindikizaji.
hahahaha
usjali msimu umeisha ngoja mmalize CDR its fair mmechukua nara nyingi recently this yr mpumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…