FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ulipotea nikajua ulitingwa na mitihani ya muhula wa kwanza🙂. Karibu, tuko kwenye manunuzi ya MF na RB, any suggestion on who we should buy?
haha nilipotea kutokana na maisha tu mkuu. ila am back

kwa nyie Barca mnahitaj
beki ya kati tu sioni kama mna hitaj sana pembeni hasa left back hamna shda sana. japo kama mki mpata Bellerin huyo huyo ata wafaa.
pia mna hitaj DM mmoja wa nguvuu. halaf mnahitaji mtu specif kama Coutinho awe ana msaidia babu Iniesta
nyie team yenu inafaa kurekebisgwa kdogo tuu.
 
Reactions: PNC

Macherano mtu mbaya me nilidhani ni "The common"-Kings wedding
 

So much loyalty in one photo-wametoka mbali mtoto mkali....Anto
 


kudadeki kama unamuhitaji Messi uza nchi yako na bank zote....!!release clause ya King of kings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…