Hii ndio yenyewe ile ile Juventus ,halafu nilichofurahi hawajaweza ku attack hata mara moja tumewachezea robotatu uwanja 1st halfHii ndio Juventus iliyotutoa au wamepanga second string?? mbona naona Barcelona kama wana stroll yaani Baca are not even sweating. Coach tuingizie huyo Semedo tumuangalie hawa Juve sio kipimo
Ha ha mchawi....unaifagilia Barca ndani kwa ndani,season hii tunakupeleka Lubumbashi tena huyu ndio Velverdemechi mbayaa hii mweer!!
hahahahaHa ha mchawi....unaifagilia Barca ndani kwa ndani,season hii tunakupeleka Lubumbashi tena huyu ndio Velverde
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo usiku ntakuwa nashabikia man u. Sijui mwenzangu utakuwa wapi?aaah
halaf sema sku zote ulichza na juve lazma unamwaga mbungu sana kwa kuwa juve wao huzuia mara mingi.
ngoja tuta woonya siye kwenye classico
hivi Bisquet ana cheza kwa ku hold vile vile eeh?Second half players wote waliocheza first half wamepumzishwa team ya Suarez imeingizwa ,waliokuwepo ni Arda Turan ,Nelson Semedo,Sergio Basquets,Umtiti,Dennis Suarez,S Roberto na Jordi Alba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewaingiza hawa madogo chenga tu Juventus wanaanza kufufuka na huyu Dyabala wao na ChielliniBarca wamebadilisha timu yote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo usiku ntakuwa nashabikia man u. Sijui mwenzangu utakuwa wapi?
haya hayaaaWamerudisha moja. Chiellini 2-1.
Wewe velverde amewahi kuwafundisha hadi Benfica so far ni Product (scholar-best) wa Johan Cruyyf hayuko bahati mbaya Barca inasemekana ni moja ya makocha ambao walikosa tu platform now kaipata Barcahahahaha
aaah usinkumbushe mkubwa wa kazi
ila msimu huu na hiyo kocha wenu wa segunda division tutawaumiza sana
Mwenyewe nimeshangaa ila ni mtoto bado anakua anatakiwa ajifunze zaidiHuyu dennis anapaishaje pale?