FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ukiona mpaka viongozi wa Barcelona wanasafiri kwenda kumfatilia mchezaji kwa ajili ya usajili andika hiyo ni deal done

Sent from Samsung Galaxy s8+
 
jana kuna jamaaa sijui walikuwa play stesheni nikaona man u 7 barca 0 daaahhh nilishaaaangaaaa
 
Yeah ameshakubali na wameshakubaliana mimi nataka wa finalise ndio nitakua na uhakika
Hii mechi ya leo itabidi watusamehe,ngoja niendelee na holiday mie-hizi mechi ambazo halftime inabadilishwa timu nzima zinakata stimu
 
Hii mechi ya leo itabidi watusamehe,ngoja niendelee na holiday mie-hizi mechi ambazo halftime inabadilishwa timu nzima zinakata stimu
Ha ha tuangalie bana leo ni saa nane na nusu usiku atleast huu muda uko friend kidogo channel ni world football startimes([HASHTAG]#254[/HASHTAG]) au Azam kwenye channel ya Man United


Liverpool wamekataa kumuuza Coutinho wamesema is not for sale sijui itaishia vipi kuna kuangukia pua moja kwa moja au kufanikiskisha tu (2 types za decision kutokana na mazongumzo yao)
I needed attacking midfield kama Coutinho tuombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King'amuzi cha Azam watairusha game ya barca ya usiku kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: PNC
Wakati saga la Neymar linaendelea acha tujikumbushe loyalty ya Messi kuwa Real Madrid walijaribu kumsajili kikosini mwao mara tatu ,2007 ,2011 na 2013 na zote zilikua offer zakumfanya ni mchezaji anayelipwa fedha ndefu kushinda wachezaji wote duniani AKAZIKATAA
 

Wanazi wenzangu wa Barca tujiandae tu kwa demage this is the true definition of loyalty usishangae kwanini wengi tunampenda na kumzimia Messi ,tushazoea kuona life span za wa brazil kwenye soccer ni too short hawa jamaa hawana tofauti na Wakongoman culture zao
 
hizi team za premiership uwa zinaonewa sana na Barca-hapo Barca atakuwa kwenye mazoezi ya tiki taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…