I think vidal was not a big problem.. The problem was ractic , coach and pique.... Mistake za vidal n chache sana ukilinganisha upumbavu wa pique na ractic jana... Inieasta kacheza mpira mwing sana, busquet ndo alikua moto kwel kwel... Kitendo cha kumtoa iniesta na ractic uwanjan tayr game iliishia pale...Best diver ,yule refa safi sana kwa hawa watu wanaofanya simulation,
Nadhani uliona madhara yakuiga Messi's style-Red card sent off the field
Technically Madrid ni wabovu tu goalkeeper na Vidal wake tu ndio wametuzingua
Wakuda wameshaanza online petition ,match ya wednesday team itacheza under alot of pressure na winding up ya transfers week hii ndio mwisho ,nadhani kati ya majina ambayo tumeyataja sana baadhi yatadondoka Camp Nou kabla ya sundayipigwe kura kutokuwa na imani nae tu
Hamkustahili kupata penalt hata moja Suarez alidiveRefa angekua makini tungetoka draw kwa sababu alitubania penalty nyingine moja
Left winger (ugeni na majukumu makubwa ) ulimzingua,Rakitic alicheza defensive roles kwa sababu ya kupwaya kwa Aleix Vidal ,Iniesta jana ni kwa sababu haku hold mipira na kupiga mipira ya pass za mwisho suala ambalo lilimlazimu Messi awe anarudi katikati kuchukua mipira na muda mwingine Messi alilazimika kucheza kama RB (Vidal hakupanda kabisa na mbaya zaidi ku defend hawezi)I think vidal was not a big problem.. The problem was ractic , coach and pique.... Mistake za vidal n chache sana ukilinganisha upumbavu wa pique na ractic jana... Inieasta kacheza mpira mwing sana, busquet ndo alikua moto kwel kwel... Kitendo cha kumtoa iniesta na ractic uwanjan tayr game iliishia pale...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejawa na mahaba sio kosa lakoHamkustahili kupata penalt hata moja Suarez alidive
Sikushangai ,nimekwambia hii timu mbovu huwezi kumfunga Real Madrid ukasema mtashinda 5.All the best Paulinho anatambulishwa rasmi wiki hiiUmejawa na mahaba sio kosa lako
Team yetu ni nzuri na tutaendelea kuishangilia over we ni outsider tu kutoka Los Blancos kwanza team yetu ikiwa mbovu unapaswa ushangilieSikushangai ,nimekwambia hii timu mbovu huwezi kumfunga Real Madrid ukasema mtashinda 5.All the best Paulinho anatambulishwa rasmi wiki hii
sijui kwanini semedo hakuanza hivi huyu kocha sijui anafikiri atazoea liniLeft winger (ugeni na majukumu makubwa ) ulimzingua,Rakitic alicheza defensive roles kwa sababu ya kupwaya kwa Aleix Vidal ,Iniesta jana ni kwa sababu haku hold mipira na kupiga mipira ya pass za mwisho suala ambalo lilimlazimu Messi awe anarudi katikati kuchukua mipira na muda mwingine Messi alilazimika kucheza kama RB (Vidal hakupanda kabisa na mbaya zaidi ku defend hawezi)
Asikuambie mtu Real utawala wao una mipaka sio pale Catolonia ,Coach anatakiwa ajipange tu turudishe heshima
Ikiwezekana hata leo wachezaji waamshwe alfajiri kabisa kwa ajili ya mazoezi
Terstegen sijui amepatwa na nini?
Ni kweli lina makengeza mkuu ila trust me or not kama Madrid ile forward iliyocheza kipindi cha pili(Ronaldo,Asensio,Isco,Lucas) ndio ingeanza toka kipindi cha kwanza jana Barcelona angekula 5.We jicho lako linakengeza Barcelona wamepata nafasi nyingi sana za kufunga na first half yote Madrid hawakuweza hata kufika 18 ya Barca ,kwenye football tulianza kupoteza game pale ambako hatuku record goals otherwise my team is better na we gonna come back tunahitaji marekebisho tu
Ila Delouf ni galasha, yaani hamna kitu kabisa, hana uwezo wa kuchinja mbunga katikati ya mabeki...yaani kila akipewa yeye ni kurudi nyuma tu....hovyo kweli?Ok match tumeikosea kwenye ku score na RB
Tumetengeneza chances nyingi sana tukashindwa kufunga na pia midfield hawajafanya kazi yao ipasavyo ,pass tengefu hazijatengenezwa vizuri na left wing hawakufanya roles zake mwisho Terstegen leo ametulisha nywele zile kick sio za kiwango cha yeye kushindwa kuzitoa
Kwanini match kama hizi Macherano asinge fit kule kama Pseudo (fake ) RB?
Waliicheza vizuri jana ni Barca ila hawaku score thats all!!Ni kweli lina makengeza mkuu ila trust me or not kama Madrid ile forward iliyocheza kipindi cha pili(Ronaldo,Asensio,Isco,Lucas) ndio ingeanza toka kipindi cha kwanza jana Barcelona angekula 5.
Hukuona Benzema alivyokua anapoteza mipira?
Hukuona krosi za Marcelo zilivyokua zinakosa wafungaji?
Hukuona mipira ya Isco ikikosa mtu wa kuipeleka nyavuni?
Tuseme tu ukweli jana Barcelona wamecheza vibaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Suarez kawa jipu cjui kama atabadilika kakosa magoli ile game tulikuwa tunasawazisha..
We utafungwa vipi mpira wakati unauona?Usimlaumu Ter Stegen bure angalia tena yale magoli. Asensio alipiga kwenye 90 degrees. Kipa anaweza kufika kule? Labda angepangulia nje ya box
Panyalonaaaaa na nesi wenu chalii..woyooo mnachoongaa jiandaeni nafasi ya kumi mwaka huuNombeni Msiwajibu Hawa [HASHTAG]#MadridDogs[/HASHTAG]
[HASHTAG]#ForcaBarca[/HASHTAG]
Hahahaaa kweli umetuamulia, endelea kuropoka bhana, tutajuaje kuwa una domo?Panyalonaaaaa na nesi wenu chalii..woyooo mnachoongaa jiandaeni nafasi ya kumi mwaka huu
Panyalonaaaaa na nesi wenu chalii..woyooo mnachoongaa jiandaeni nafasi ya kumi mwaka huu