FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wachezaji wanatakiwa wasiongeze mikataba kama timu haieleweki coutinho hasingeongeza mkataba sasa hivi liverfool wangekuwa wanaangaika wao kama wanavyoangaika kwa emre can ambae amegoma kuongeza na kabakiza miezi 12.......coutinho alijipiga pini mwenyewe kwa mshahara mbuzi wa 150K.......kama liverfool wakikataa fourth bid ya 138 tuachane nae tu watajuta kukataa hiyo hela ...maana msengerema klopp anamng'ang'ania kama kazaliwa nae tupo moja
 
bora dirisha lifungwe. Nimechoka kishenzi na rumours.
 
Nyie wakunduchi mnamng'ang'ania Coutinho kwani hamna maboya huko china ya kibrazili !? Mnunueni Oscar naye pia Mbrazili aliyeko China.
 
Barca wameandaa 138m£ kwa Coutinho. Liver wanasema wasijisumbue. Hata kwa £150m hawauzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…