FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

MSD hawa ambao wanalalamikiwa kwa kusambaza madawa au? Maana Courtinho yuko liver,Dybala kabaki Turin au MSdembele?
 
Eti club traditionals, hivi zama hizi kweli kuna mambo ya tamaduni? Hii Board sijui tamaduni za kijinga zilianza ujinga wake muda sana. Ni board hiyo hiyo kipindi cha nyuma fans tulitaka sana tusajili mabeki, hususani David Luiz na Mart Hummels, kilikuwa ni kipindi ambacho Puyol alishaanza kuchoka.

Barca hatujawahi kuwa na usajili wa maana ndio maana zama za hivi karibuni tumeshindwa kuwa na spuad nzuri. Yaani benchi hakuna wachezaji wa maana, hata ndani ya kikosi cha kwanza kuna mapungufu mengi. Tujifunze kwa Bayern, Madrid na PSG, Chelsea, ni timu ambazo kuanzia kikosi cha kwanza mpaka benchi wote wapo vizuri.
 
Hii board wanaupungufu wa AKILI, kwa lugha nyingine hawana AKILI timamu hata kidogo. Lamasia Academy ndiyo ulikuwa moyo wa team "according to Johan Cryful philosophy of football".

Walianza kubugi pale walipoacha kuwaamini wahitimu wa Lamasia na badala yake wakawa wanawauza hovyo hovyo.

Lakini kama wangekuwa na AKILI timamu kuwauza graduates wa Lamasia haikuwa issue sana kwani badala yake wangekuwa wanafanya usajili wa maana kama vilabu vingine kama Madrid, PSG, Man U, etc etc etc

Jinga sana Bartomeu sijawah ona....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na ww Mkuu, kama waliuza wale akina Alcantara, Marc Bartra n.k basi wangeamua kutumia pesa nyingi sana kwenye kutengeneza kikosi na sio kuacha kikosi ktk hali hii.
 
Hii ndo habari inayo break internet za Spain ,na hii siku Messi akiondoka sijui sura yangu nitaificha wapi au sijui nitasema na kutetea nini
Najisikia uchungu na hasira mimi halafu Bartemeau hana hata hisia punje


Mkuu si utahamia timu atakayocheza Messi kwani shida iko wapi? Mwenzio yule mama jackline ashahama Barca kitambo tu
 
Hapo bado hawajaenda mastalla. Mashabiki wanakuwa kama wanaangukia wachezaji. Utafikiri mnacheza kwenye kisima.
Hivi unajua jamaa nao wanamiliki magarass?Balle na Benzema ni mizigo yakutosha tu kule Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…